Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,379
Akasome tuuh. Iyo iyo sisi wenyewe tunasoma tusivyo vipenda life is not fairHabari,
Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye alitaka kwenda Advance.
Amenipigia simu kuniomba ushauri cha kufanya na familia yake haina uwezo wa kumsomesha private.
Anaweza kusaidika vipi huyu mtoto?
Life is full of surprise ukikosa unacho kipenda penda unacho pata ......Mbona wamembania jamani.
Me mwanangu alikuwa na two ya 20 kapata HGK
😀😀 mwanao??Mbona wamembania jamani.
Me mwanangu alikuwa na two ya 20 kapata HGK
kwa upande wangu na experience niliyonayo, nashauri akasome hivyohivyo maana anaweza kwenda advance akadondoka pia au anaweza zingua kwenye bachelor akashindwa pata degree.....Habari,
Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye alitaka kwenda Advance.
Amenipigia simu kuniomba ushauri cha kufanya na familia yake haina uwezo wa kumsomesha private.
Anaweza kusaidika vipi huyu mtoto?
Ndiyo jirani😀😀 mwanao??
HongeraNdiyo jirani
Shule gani hiyo mkuu.?kwa upande wangu na experience niliyonayo, nashauri akasome hivyohivyo maana anaweza kwenda advance akadondoka pia au anaweza zingua kwenye bachelor akashindwa pata degree.....
Akazane afaulu vizuri na grade nzuri, Mungu akiwa upande wake atapata ajira.....alafu kuna shule private ya msingi hapa karibu na makazi yangu wanalipa laki 7 kuendelea wanafanya interview kila mwaka then wanarecruit wa3 hadi 4, just inagine akipata na umri ukiwa unamruhusu plus kujishughulisha na vibiashara nje ya job atafika mbali.....
Habari,
Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye alitaka kwenda Advance.
Amenipigia simu kuniomba ushauri cha kufanya na familia yake haina uwezo wa kumsomesha private.
Anaweza kusaidika vipi huyu mtoto?
Sio Hitaji Lake Lakini Ni Hitaji La Serikali Walompangia,Mwambie Akasome!Kusoma A Level Siku Izi Ni Pata Potea Anaweza Kufeli!Asome Chuo Ataajiriwa Huko HukoHabari,
Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye alitaka kwenda Advance.
Amenipigia simu kuniomba ushauri cha kufanya na familia yake haina uwezo wa kumsomesha private.
Anaweza kusaidika vipi huyu mtoto?
Kwahiyo the best option ni kwenda Medical Courses kuliko Banking and Finance?Inawezekana alijaza vyuo kwenye zile form muulize vizuri.,ila kuna option y kubadili kozi kupitia hapo hapo tamisemi kwahiyo asiwe na shaka anaweza badili ila akaenda chuo anachotaka nashauri akitaka kubadili aende akasome kozi za afya ni nafuu sana halafu pia kama kwao uwezo ni mgogoro bora asome diploma akimaliza anakua na ujuzi wake.
Kwahiyo the best option ni kwenda Medical Courses kuliko Banking and Finance?
Kingine nahitaji kufahamu, serikali ina mpango gani wa kuwawezesha kwa mikopo hawa watoto, maana ada ya advance school ni cheap compared na vyuo, sasa kwa watoto wa maskini ambao wamepangiwa kwenda vyuo watafanyaje?