Kapangwa chuo cha Ualimu naye siyo hitaji lake

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,107
2,373
Habari,

Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye alitaka kwenda Advance.

Amenipigia simu kuniomba ushauri cha kufanya na familia yake haina uwezo wa kumsomesha private.

Anaweza kusaidika vipi huyu mtoto?
 
Akasome tuuh. Iyo iyo sisi wenyewe tunasoma tusivyo vipenda life is not fair
 
Ukideal na hitaji lako utachelewa sana

Bora kujishughulisha na takwa kuliko hitaji.

Literally you always get what you need and not what you want!!

Mwambie akasome aache siasa hajui kesho yake. Walimu wanakula hata sana nchi hii
 
Habari,

Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye alitaka kwenda Advance.

Amenipigia simu kuniomba ushauri cha kufanya na familia yake haina uwezo wa kumsomesha private.

Anaweza kusaidika vipi huyu mtoto?
kwa upande wangu na experience niliyonayo, nashauri akasome hivyohivyo maana anaweza kwenda advance akadondoka pia au anaweza zingua kwenye bachelor akashindwa pata degree.....

Akazane afaulu vizuri na grade nzuri, Mungu akiwa upande wake atapata ajira.....alafu kuna shule private ya msingi hapa karibu na makazi yangu wanalipa laki 7 kuendelea wanafanya interview kila mwaka then wanarecruit wa3 hadi 4, just inagine akipata na umri ukiwa unamruhusu plus kujishughulisha na vibiashara nje ya job atafika mbali.....
 
Shule gani hiyo mkuu.?
 
Habari,

Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye alitaka kwenda Advance.

Amenipigia simu kuniomba ushauri cha kufanya na familia yake haina uwezo wa kumsomesha private.

Anaweza kusaidika vipi huyu mtoto?

Kama ameenda kusoma Diploma Maalum maana yake anasoma kidato cha tano na sita (nusu-kombi) kwa miaka miwili, halafu diploma mwaka mmoja.
 
Habari,

Mwanafunzi wangu alohitimu kidato cha nne mwaka jana na kufaulu kwa kupata Div II ya point 21 (ana C zote) amepangwa kwenda ualim chuo cha Songea kwa masomo ya Maths/ Chem ila yeye alitaka kwenda Advance.

Amenipigia simu kuniomba ushauri cha kufanya na familia yake haina uwezo wa kumsomesha private.

Anaweza kusaidika vipi huyu mtoto?
Sio Hitaji Lake Lakini Ni Hitaji La Serikali Walompangia,Mwambie Akasome!Kusoma A Level Siku Izi Ni Pata Potea Anaweza Kufeli!Asome Chuo Ataajiriwa Huko Huko

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mmmmmh wamemuonea bhana, maan kuna binamu angu kapat 3 ya 23 kapangwa HGL.
 
Kuna binamu yangu yeye kapata C ya Civ, Geog, Kiswa, Chem na Biol, nyingine zote D, kapata Div 3 ya point 23. Hajawai kusoma masomo ya biashara ila cha ajabu kapangiwa chuo arusha kuchukua masomo ya Banking and Finance. Dogo dream yake ni kusoma medical courses. Shida wazazi wake wako kijijini hawana uwezo wa kumpeleka private school ili asome advance au medical courses, hiyo ada yenyewe ya huko chuo alipopangiwa plus hostel ni mtihani maana walipiga simu wakaambiwa ni kama 1.3 milion Baba ake alitaka kumpeleka VETA nikamkatalia nikamshauri mtoto aende arusha, au abadilishe tahasusi akasome vyuo vya tiba. Changamoto mzee ana uwezo mdogo wa kifedha
 
Inawezekana alijaza vyuo kwenye zile form muulize vizuri.,ila kuna option y kubadili kozi kupitia hapo hapo tamisemi kwahiyo asiwe na shaka anaweza badili ila akaenda chuo anachotaka nashauri akitaka kubadili aende akasome kozi za afya ni nafuu sana halafu pia kama kwao uwezo ni mgogoro bora asome diploma akimaliza anakua na ujuzi wake.
 
Kwahiyo the best option ni kwenda Medical Courses kuliko Banking and Finance?
 
Kingine nahitaji kufahamu, serikali ina mpango gani wa kuwawezesha kwa mikopo hawa watoto, maana ada ya advance school ni cheap compared na vyuo, sasa kwa watoto wa maskini ambao wamepangiwa kwenda vyuo watafanyaje?
 
Sina hakika lakini niliwahi sikia wanalipa tofauti na wengine mfano nina jamaa yangu alisoma MUST wao special from gvt alikua nakula mpaka chakula bure.
Kingine nahitaji kufahamu, serikali ina mpango gani wa kuwawezesha kwa mikopo hawa watoto, maana ada ya advance school ni cheap compared na vyuo, sasa kwa watoto wa maskini ambao wamepangiwa kwenda vyuo watafanyaje?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom