Inno laka
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,616
- 583
Wakat ndo nafika mkoa huu,,'nikawa na uhusiano wa mapenz na mdada mmoja,,'nimedumu naye kwa takriban mwaka mmoja tukaja kutengana kwa sababu hakuwa mkweli..,pamoja na kuwa tulikuwa tumeachana naye lakini mawasiliano yalikuwepo kama kawaida.,,mara nying alikuwa akinipigia simu.,akiniomba turudiane.' siku moja nililala mapema akawa amenipigia simu na namba nyingine ambaye n ya bwana ake hyo alomuoa,,'alipoona sipokei simu akanisms alaf sms hiyo alisahau kuifuta..'niliposhituka kama saa tano usiku nikawa nimepiga ile namba daah..'akapokea mme wake plus ile sms akanitelemshia hayo matusi nilitumia busara sikumjibu chochote..'siku moja akanipigia simu anataka turudiane nikamwambia we si umeolewa akakataa katukatu kuwa hajaolewa na bado ananisumbua turudiane.?