kuna mdada tupo nae ofis moja , yy kaolewa mi sijaoa na sina mchumba wa kueleweka, YY kila wakati huwa anataka amfaham mchumba wangu, ila kwa sababu tunaheshimiana nilimwambia ukweli sina mchumba wa uhakika, ila kuna mahali huwa nazjipooza hali ikiwa mbaya.Haikuwa taabu ila sasa hiv kaja kivingine mara ananiambia mi mtoto mdogo sana siwez mambo hata akinipa nitachemsha mi nikafikir ni masihara, ila sasa hiv anataka kabisa nikampe majamboz, sasa nifanyeje? niuchune au nimwonyeshe kuwa mi ni kijogoo?wana jf naomben mchango wenu

<br />jifanye kijogooo halafu uje utuambie kwa nini wanasema mke wa mtu ni sumu..<br />
<br />
kaa mbali naye na muogope kama ukoma usilogwe na nyeeege zako ukaenda kumduuuu utakufa..