Kaoa Ex GF wa jamaa na wapo pamoja mtaani

inategemea na wahusika wenyewe kwani mara nyingi muda ukishapita hata hamu na mhusika uliyetengana naye hakuna tena.
wewe huko kama mimi yaani mamanzi wangu wa zamani sasa hivi nawaona kama marafiki tu
 
sasa huyu akikosa raha jee hawa:

Najua mtu ambaye ex yake kaolewa na brother yake mdogo sasa huyu hawezi kuavoid family yao.Lakini ndugu yake ka decide there is no other woman for him except huyu ex wa brathake.Mapenzi kweli ni blind:A S 8:
 
Sidhani kama ni tatizo kwani jamaa wakati anaoa alijua kuwa mwenzake alikuwa anamega hivyo hatakiwi kumind zaidi ni kuonesha ushirikiano
 
sasa huyu akikosa raha jee hawa:

Najua mtu ambaye ex yake kaolewa na brother yake mdogo sasa huyu hawezi kuavoid family yao.Lakini ndugu yake ka decide there is no other woman for him except huyu ex wa brathake.Mapenzi kweli ni blind:A S 8:
mmmh hapo pana utata kibinadamu lazima atakuwa anaona wivu akikuta wanaongea
 
Binadamu tuna matatizo ya kujitakia. Haya mambo ya mahusiano hutakiwa kuaanzia pale ngoma ulipopakuta. Kagua mzigo uko fit, unga mdundiko. Mambo ya kuuliza, kusaka au kuishi na historia yana faida na zaida hasara katika mahusiano. Mambo ya umesha...na wanaume/wanawake wangapi kabla yangu ya nini?

Baelezee haba batoto! utafikiri yeye hajawahi mega na kusaza....................ubinafsi tuuuuu! kama unata ya peke yako kaishi sayari nyingine !
 
Back
Top Bottom