Kaoa Ex GF wa jamaa na wapo pamoja mtaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaoa Ex GF wa jamaa na wapo pamoja mtaani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Aug 24, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa ameoa msichana ambaye alikuwa girlfriend wa jamaa yangu siku za nyuma na ni rafiki yake wamekuwa pamoja, sasa tatizo linakuja kuwa jamaa anashindwa kwenda kumtembelea huyo jamaa kwa kuwa anaona kama muoaji anam-mind kwa kuwa huko nyuma kabla yake jamaa alikuwa anamchukua mkewe

  Jamaa yangu anasema kuwa kama wakikutana na hao wanandoa yule jamaa muoaji anakosa raha kabisa lakini kama akikutana na m/mme peke yake wanakuwa poa tu na ni marafiki na wamekuwa pamoja utotoni

  Je situation kama hiyo ikikutokea wewe mwanandoa utaichukuliaje?
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wanaume huwa hawaachi kimoja.
  soon mtasikia mauaji ya kimbari yameanza.
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kwanini jamaa ana inferiority complex ina maana amtrust mshikaji at all
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  ndio inavyoonyesha naona mshikaji anatamani ahame na mkewe lakini ndio walipojenga hapo labda akapange kwingine akimbie nyumba yake
   
 5. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Wahenga walisema "KIkulacho kiko nguoni mwako"....! Sembuse waliowahi kukulana? Najua jamaa ndio kaanza kubisha hodi pale...! Atasahaulika vipi? Nami sipati amani kamwe, labda kuachana kwao ni kwa kugombana na nina uhakika kuwa hawajawahi kupatanishwa...! Sipendi ugomvi, lakini kambi ya mapenzi ukiiaga kwa amani, siku moja utarudi tu....! bora kuinyea kabisa, ndio nitapata amani...! Nitaringia nini juu ya mke wangu mbele ya jamaa huyo? Wakati kila kitu anakifahamu....! Kwa kweli ni kazi, hasa kama hujawahi kushuhudia unaibiwa, pengine ungezoea na kuona jambo la kawaida...!
   
 6. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwani huyo jamaa yako ni lazima sana aende kumtembelea jamaa yake kama kweli anajua kuwa jamaa anakosa raha? Nadhani kama hali ipo hivyo wapange utaratibu wa kukutana pale inapolazimu kukutana. Au ikbidi ajiweke mbali nao kama anahisi kuna tatizo,labda bibie ndo hataki kumuona jamaa yako akienda kwao!
   
 7. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binadamu tuna matatizo ya kujitakia. Haya mambo ya mahusiano hutakiwa kuaanzia pale ngoma ulipopakuta. Kagua mzigo uko fit, unga mdundiko. Mambo ya kuuliza, kusaka au kuishi na historia yana faida na zaida hasara katika mahusiano. Mambo ya umesha...na wanaume/wanawake wangapi kabla yangu ya nini?
   
 8. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  duh ndio maana jamaa uwa anaumia sana maana mshikaji waliachana tu kwa amani baada ya jamaa kupata demu mwingine na wana salimiana fresh tu na mke wa jamaa
   
 9. D

  Dick JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawara hana talaka. Kwa hiyo ujue kabisa kuwa jamaa siku na saa yoyote atachemsha kiporo kwa moto mdogo sana. Kitu kinachowezazuia mambo haya ni ama wanandoa hao waishi mbali ambako kuonana kwa demu huyo na jamaa ni kudogo sana au hakupo kabisa na pengine kama waliachana kwa uhasama mkubwa. Kinyume na hapo, muoaji imekula kwake, Kampe pole ya herufi kubwa!
   
 10. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  uwa natokea kwa kuwa ni marafiki na wap jirani sana kuna mara zinatokea kuna sherehe au issue fulani anaenda pale kwa wale wanandoa
   
 11. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  halafu huyo muoaji uwa anasafiri mara kwa mara sasa sijui akiwa safarini inakuwaje nahisi kama anaona huku jamaa anamlia mkewe
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Lakini mapenzi huwa yanaisha kama walifunga page na kuanza upya hakuna tatizo lolote ...sasa kama waliachana wakiwa wanapendana hilo ni tatizo kila mmoja aepukane na jaribu hili kubwa :confused2::confused2:
   
 13. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  waliachana si kwa ugomvi na jamaa alikuwa anamchua kwa kipindi kama miaka mitatu au zaidi ila baadae wakaachana na huyu binti akaolewa na mumewe ambaye wamekua pamoja na yule ex wa mkewe na bado wanakaa mtaa mmoja

  sasa kama bado anampenda hiyo ni siri yake huyo dada
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Inauma...! Usiombe ukamuoa aliyeachana na EX wake kwa amani. Utajuta mkuu....!
   
 15. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kitakacholeta amani ni huyo jamaa (mume wa mke huyo) naye kujitahidi achape kwa mwenzake....! Japo haipendezi...! Pengine itampatia amani mbele ya mkewe na huyo jamaa (Ex). Vinginevyo, hali ni ngumu kiasi kwake...!
   
 16. E

  Endaku's JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2010
  Joined: May 25, 2007
  Messages: 322
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mmm soo kazi kweli kweli ! Wengine hatujui kugombana na watu waliokuwa WAPENZI wetu , hata kama tunahitimisha urafiki , na uzoefu unaonyesha mikikuta tuu ,contact lazima mpeane na kukumbushana na kuulizana maendeleo baada ya hapo mahusiano yaweza kurudi !

  Kiukweli kabisa niliwahi kukutana na Ex girl wangu Church wakati yeye ashaolewa nikaacha kwenda misa hiyo , yeye akafikiri namaind akaja misa ya pili tukaonana, ila hutuongei maana yuko huby wake , soo ni pale tulipokutana mtaani tukakata kiu , huku akiamini anaona naumia sana mpaka nakimbia misa ! mimi naamini MKE wa Mtu ni sooo nikamua kuhama maeneo yale kabisa maana naamini jamaa angejua tuu ! Mamaa ametulia acha kabisa ! sasa hata nikikutana naye akijilengesha siwezi acha sababu najua manjonjo yake yaana naomba tuu niskutane nae au anichunie tuu ndio salama yangu !
   
 17. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  inategemea na wahusika wenyewe kwani mara nyingi muda ukishapita hata hamu na mhusika uliyetengana naye hakuna tena.
   
 18. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  mimi binafsi imenitokea
  rafiki yangu alioa X-gf wangu,
  kabla hajaoa aliniambia juu ya swala hilo la kumuoa binti huyo,
  nilichomwambia ni kwamba '' chanzo cha matatizo kwangu huenda kwako ndo chanzo cha suluhisho''
  walioana baada ya mwaka mmoja nami nikaoa nchi ya mbali tuko jirani na rafiki yangu huyo na story zinapanda
  kama kawa
   
 19. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  aaah hii noma sasa kama ukipigwa kibuti halafu huyo demu akaenda kumwambia jamaa yake si itakuwa soo juu ya soo hapana hii noma
   
 20. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  achana nae unaweza kujiepusha na mengi sana kama maradhi, wivu au unaweza kukolea ukajisahau. Mke wa mtu ni sumu kuna jamaa alifumaniwa niliwahi kuona mitaa ya Sinza Mori watu walipiga mpaka akazirai halafu alikuwa uchi huku kondom inaning'inia halafu wakamchukua kwenye gari tinted wakasepa nae sijui walimfanya nn huko ila yule jamaa alihama mtaani alikuwa anachukua mke wa dereva wa malori wakamwekea mtego
   
Loading...