Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

Kwa vazi hilo watu wa kanisa hawatokuelewa,labda ungesema lile vazi la padre.
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.
Isiishie hapo napendekeza iwe ndo uniform ya majeshi yetu na wanafunzi wa mashule yote!Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.
Isiishie hapo napendekeza iwe ndo uniform ya majeshi yetu na wanafunzi wa mashule yote!
Ili mfiche hayaaaSisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.
Ndo maana mnamwiga mwarabu kila anachofanya, akivaa msuli bila kitu ndani nawe unamwiga!
Mbona hili vazi la kanzu viongozi wa kitaifa wanavaa
Hata mkapa,lowasa,mwinyi kikwete hili vazi linafaa
Kwanin kikwete hakulizungumza kwenye hotuba yake?
Ndugu yangu huna haja ya kuzunguka mbuyu, wewe kuwa wazi kuhusu dini unayoipendekeza iwe ya taifa wacha kuitaja kimafumbo kupitia mavazi.
Wewe unafikiri matatizo yetu yanatokana na sisi kutokuvaa kanzu na baibui? Je tukivaa kanzu na baibui tutapata bara bara, maji safi, elimu, afya, na ajira? Changanya a za kwako kaka. Usikubali kuambiwa tuuu....