Kanzu/baibui liwe vazi la taifa

Kanzu/baibui liwe vazi la taifa

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.
 
Bange zingine sijui za malawi au kenya.... acha kujidhalilisha
 
watanzania wakiamuwa ina wezekana, ila kwa sasa aiwezekani
 
Hakika hizi bange+gongo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kavae we na mkeo hatulazimishwi mavazi hiyo katiba msaafu.
 
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

vazi lisiloruhusiwa hata ofisi za serikali litawezaje kuja kuwa vazi la taifa? Acha ndoto za mchana..
 
Ndugu yangu huna haja ya kuzunguka mbuyu, wewe kuwa wazi kuhusu dini unayoipendekeza iwe ya taifa wacha kuitaja kimafumbo kupitia mavazi.
 
jamani msioneshe hisia za ubaguzi na uchochezi kusema nchi jirani ndio nini wakati watanganyika na zanzibar wameungana?
 
Kwa vazi hilo watu wa kanisa hawatokuelewa,labda ungesema lile vazi la padre.
 
Back
Top Bottom