Kanye West under fire after saying slavery was a choice

Kanye West under fire after saying slavery was a choice

its a choice because its all in mental induced .This people were all looked down since birth hence end up thinking the same like the say goes if you call a lion long enough a kitten it will believe its a kitten kanye dont want to be trapped into that sheeply mentality hence decided to support trump based on what he see and get....so in a way i understand genious kanye ...but doenst mean i support his views because thats my choice
Well said and very wise choice
 
They were slaves with no option and way out of it, likewise today still enslaved and no way we can get rid of it.
Way out, hell no, i don't fall in that trap, we get to put our minds together, nobody is bigger than right thinking patriotic citizens. We are not inverting a new tyre, it has been done else where.
 
niandamane kwa sababu ya watumwa mliojichagulia kuwa watumwa?????

Huwezi kuwa upo serious. Wewe ndo uandamane mimi ninaposema kwa sauti kuwa hakuna utumbo wowote unaoitwa Mungu
Sawa Mkuu hayo ni maoni yako na wewe ni mtu huru kuwa na maoni huru
 
Sasa kama kuna wanyamwezi zaidi ya 10 wamembeba mzungu/mwarabu kwenye kiti then wanapita juu ya daraja na mlizi mmoja tu na washindwa kumrusha huyo mkoloni darajani na kumpa vitasa huyo mlinzi mwenye bunduki moja ambayo baada ya risasi moja lazima ulikoki dakk kama 5. Kweli ilikuwa ni Choice
 
Mkuu mimi namwelewa sana Kanye West, mambo yaliyotokea kwa miaka 400, ndiyo yanatokea leo, watu wanaogopa vitu vya kijinga
 
Way out, hell no, i don't fall in that trap, we get to put our minds together, nobody is bigger than right thinking patriotic citizens. We are not inverting a new tyre, it has been done else where.
Labda nikuandikie kwa kiswahili. Dunia ilikofikia kutoka kwenye utumwa no Big no haiwezekani tena. Angalia hata hao akina korea Kaskazini wanaokomaa waukimbie utumwa mamboleo wanashindwa. Tulishakosea mfumo na tayari njiani washakaa wajanja saizi kuwa huru tena haipo kabisa na haiwezekani. Tutakuwa watumwa mpk kihama
 
Pale aliposema 'I like slavery, so prison is one unites us as one'

Amesema 'yeye anapenda utumwa, ufungwa umetusogeza pamoja na kutufanya tuunganike'
asante bro, Ubarikiwe..

ila ninachotaka kujua ni general kamaaanisha nini?
sio direct transalation..
mfano.. kasema kuwa anapenda magereza yanawaunganisha,.. anamaanisha kuwa magereza yamefuta vidonda vya utumwa kwa vile race zote zinaenda gerezani ama ?
na je hizi kick za kanye ndio ameshaanza race za kugombea urais?
 
Labda nikuandikie kwa kiswahili. Dunia ilikofikia kutoka kwenye utumwa no Big no haiwezekani tena. Angalia hata hao akina korea Kaskazini wanaokomaa waukimbie utumwa mamboleo wanashindwa. Tulishakosea mfumo na tayari njiani washakaa wajanja saizi kuwa huru tena haipo kabisa na haiwezekani. Tutakuwa watumwa mpk kihama
Emancipate yourself from mental slavery.... nadhani huyo alikua ni Bob Marley, hicho ndicho unachopaswa kukifanya Mkuu. Ninachokiona kwako ni hofu kubwa ya kutoka kwenye comfort zone yako.
 
Back
Top Bottom