Kanye West: Prayers are not working

Japo Mimi sio Atheist lakini Atheist hawezi kujiua kwa sababu hawezi kuwa disappointed by a higher spiritual being kama ninyi watu wa dini. Wewe mambo yako yakikwama sana inaweza kukufanya uamini umelogwa au Mungu amekuacha. Atheist hawezi kuwaza hivyo
Mzee utapiga kelele ila mpo wachache ,atheist ilikuwa America kwa sasa inapungua watu wanaingia kweny dini kwa sana.

Ndio maana sio logic kuleta quote ya Kanye west ,unajifunga bro acheni stress ndio mnaongoza kwa kujiua😂😂
 
Japo Mimi sio Atheist lakini Atheist hawezi kujiua kwa sababu hawezi kuwa disappointed by a higher spiritual being kama ninyi watu wa dini. Wewe mambo yako yakikwama sana inaweza kukufanya uamini umelogwa au Mungu amekuacha. Atheist hawezi kuwaza hivyo
Wanakosa last hope ,wengi wana husda hata public gathering hawataki .

Atheists ni wabinafsi ndio maana wanakufa ,wanapenda mambo yanyooke kwao tu ,wana stress kinoma
 
Wanakosa last hope ,wengi wana husda hata public gathering hawataki .

Atheists ni wabinafsi ndio maana wanakufa ,wanapenda mambo yanyooke kwao tu ,wana stress kinoma
Sio kweli hao unawazungumzia watu wa dini. Mtu wa dini akiona mwenzake amebarikiwa yeye hajabarikiwa anaanza chuki na mfano mzuri ni wa Kaini ma Habili.

Hakuna watu wenye amani kama Atheist kwa sababu they dont expect any kind of blessing from any kind of God
 
Alitoa wimbo unaitwa " Jesus Walks" baadae akaanzisha kundi la muziki wa injili na akawa anafanya kitu kama huduma hivi kiasi cha kupelekea mashabiki wake kuanza kumuita " Bishop Kanye"

Leo kaamua kufunguka ukweli wa moyoni. Anasema maombi kwa Mungu hayafanyi kazi ama kwa lugha nyingine ana maanisha " Mungu hajibu maombi ya watu"

Ndio yale yake ya akina Likud.

Anyways kuna ukweli mwingi sana kwenye hoja ya Kanye. Asikilizwe.

Wakristu na waislamu ingawa midomoni watajifanya kumponda Kanye ( unafiq) lakini kwa matendo yao wanakubalina na hoja ya Kanye kwa Asilimia nyingi sana.

Ndio maana wengi wao tunakutana nao kwa wingi sana kwenye vilinge vya waganga. Tena hawa ni wale Walokole HASWA na maustadh/ ustadhat HASWA.

Ndani ya mioyo yao wanajua ukweli kwamba Mungu huwa hajibu wala kushughulika kabisa na maombi ya watu.

View attachment 2937117
Je alikuwa anaongelea prayers za akina nani hao? maana neno THEM linabeba maana nzima.

Je maombi ya hatters au wafuasi?
 
Sio kweli hao unawazungumzia watu wa dini. Mtu wa dini akiona mwenzake amebarikiwa yeye hajabarikiwa anaanza chuki na mfano mzuri ni wa Kaini ma Habili.

Hakuna watu wenye amani kama Atheist kwa sababu they dont expect any kind of blessing from any kind of God
Hakuna kitu kama hicho kwa hile husda inakatazwa
 
Ukishika amri za Mungu
Ukiomba chochote unakipata ontime
Kanye anazifahamu amri za Mungu na kuziishi?

Hata torati inasema ukiishika torati chochote kile ni kugusa tu
Lakini wema unalipa hii niko na ushahidi nayo
Ukitendea watu mambo mema kama kuwasaidia katika mambo mbalimbali ni kumkopesha Mungu siku ukiwa na shida uko katika mazingira yasiyowezekana Muombe Mungu na umkumbushe wema uliotenda kwa wengine Mungu atafanya malipo Na utaliona hilo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kitendo tu cha kuomba kinadhihirisha kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo,

Mungu huyo aliyejaa upendo kamili hapaswi kusubiri kuombwa mazuri kutoka kwa viumbe wake ilihali anafahamu shida zao.

That is a logical contradiction.
 
Wanakosa last hope ,wengi wana husda hata public gathering hawataki .

Atheists ni wabinafsi ndio maana wanakufa ,wanapenda mambo yanyooke kwao tu ,wana stress kinoma
Theist hawafi?

Kati ya waamini na wasioamini wabinafsi ni wapi kama siyo hao waamini?

Unaushuhuda juu ya tuhuma zako ili kusupport hoja yako?
 
kumbe mgeni ? Mbona zipo ! Tumia hta simu kutafuta
Huna hoja boss

Kama zipo ulipaswa kuzileta hapa.

Hizo ni mbambamba tu kupalilia uongo wako.

Hujaweza hata kujibu swali langu.

Unapiga kona tu,

Swali liko pale pale

Theist hawafi?
 
Huna hoja boss

Kama zipo ulipaswa kuzileta hapa.

Hizo ni mbambamba tu kupalilia uongo wako.

Hujaweza hata kujibu swali langu.

Unapiga kona tu,

Swali liko pale pale

Theist hawafi?
Nyie ndio shobo kibao , mtu akitaja Mungu mnawasha kama mmeitwa
 
Hujajibu swali nlilokuuliza, zaidi unaleta tuhuma zisizo na ustadi wowote ule.

Jibu swali la mjadala

Theist hawafi!?

Uwe unafuatilia mitandao mikubwa sio kuleta ushamba.
 
Back
Top Bottom