Kanye bana

Mi nalisubiri hili vazi lefike hapa bongo ndo nilioni vizuri maana hii sceerni yangu kido ina mkwaruzo
 
Mali yake mwenyewe uchu wa nini sasa! anaangalia kwa kuibia badala ya kujiachia.

Nina mashaka nae huyu jamaa atakuwa anakula samaki pande zote
 
Mali yake mwenyewe uchu wa nini sasa! anaangalia kwa kuibia badala ya kujiachia.

Nina mashaka nae huyu jamaa atakuwa anakula samaki pande zote

mi pia mkuu kuna wakati huwa namshagaa wife,nabaki kujiuluze huyu nilimpateje?
_Mungu alinipendelea na sinaga tamaa na nje
 
mi pia mkuu kuna wakati huwa namshagaa wife,nabaki kujiuluze huyu nilimpateje?
_Mungu alinipendelea na sinaga tamaa na nje
Mbali na alivyo kila siku umegundua wanawake wanabadilika badilika kuna siku anazidi kuwa kama Malaika(uzuri wake unaongezeka zaidi), sijui na wewe umeshakutana na nnachokielezea hapa?

Au ni mimi peke angu nakutana na hali hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…