Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Angalia pozi la sura yake, hapo anajua watu wote wanamwangalia yeye.
Kanye si ndiyo huyu anayemnyea Kardashian au siyo?
Kanye mtundu sana......
![]()
Katika watu walionishinda kwa kung'oa wanawake wa kali, na Kanye yumo. Mpaka namchukia.
Ni wazi atapiga chini na huyu kama alivyomfanya yule kipara. sababu alikuwa haachi kumshika shika hayo maeneo, ila najua nao ndo furaha yao.
Kanye mtundu sana......
![]()
Kanye anakiburi sana...kuna mtv music awards ya kipindi cha nyuma beyonce alimuaibisha vizuri sana pale stejini....
Hahahaaaa.....
![]()
Naona Kanye ameshika sehemu ya Kunyea....Kanye mtundu sana......
![]()
Kanye anakiburi sana...kuna mtv music awards ya kipindi cha nyuma beyonce alimuaibisha vizuri sana pale stejini....
haya tomaso...Prove.