Kanusho La Kujiuzulu Kwa Wabunge Wa CUF

"Unaweza kuchezea ndevu za Mwanamapinduzi sio Serikali ya Kimapinduzi"-Comandoo Dr.Salmeen Amour Juma Rais wa Tano wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar 1990-2000!
 
Mungu ibariki cuf .
 



Wamekanusha!
 
Nakuwaga mdadisi lakini hili nililisahau, hivi bado kuna wabunge wengine wa Zanzibar huku bara? Hivi hawa walitokana na uchaguzi gani? Hapa nimechanganyikiwa.

Kujiuzulu hawawezi, waache mapochopocho ya bure ya Tanganyika ila wawakilishi wameumia, miaka mitano mikavu?
 
Ndio hapo tukisema Ccm wanamazingaombwe mengi watu wanabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…