D Dumishamila Member Joined Nov 5, 2018 Posts 40 Reaction score 30 Jan 16, 2019 #41 Jamaa alikuwa na maringo huyu. Da! Basi tu ngoja akae benchi. Sent using Jamii Forums mobile app
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,376 Reaction score 4,120 Jan 16, 2019 #42 Kakosa laki tano ya kuwaita wana habari afanye nao press conference.ni mtu mzito afanye hivyo.
K Kichakoro JF-Expert Member Joined Sep 10, 2008 Posts 3,437 Reaction score 6,400 Jan 16, 2019 #43 luambo makiadi said: Ana kazi Gan sasahv? Click to expand... Kwani alikua anafanya kazi gani Kabla ya uteuzi was DC wa bagamoyo. Ukishindwa tafuta CV yake
luambo makiadi said: Ana kazi Gan sasahv? Click to expand... Kwani alikua anafanya kazi gani Kabla ya uteuzi was DC wa bagamoyo. Ukishindwa tafuta CV yake
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,723 Jan 17, 2019 #44 Alishindwa kujieleza , huenda ni kifo cha kisiasa Sent using Jamii Forums mobile app