(Kanusho) CHADEMA: Zitto ni adui yetu namba moja nchini Tanzania

Status
Not open for further replies.
Tena kama ningekuwa mshauri wa zito ningemshauri zito akagombee ubungo.huyu mnyika ndio mnafiki mkubwa na ndo alieleta majungu mpaka zito afukuzwe chama ili apate cheo cha zito.Mwenzake kaonyesha uanaume kakaa kimya yeye analeta majungu kama M.w.a.n.a.m.k.e.
Nilikuwa najiuliza kama mnyika akitimuliwa chadema ana mapafu ya ZZK, au Lisu kwa mfano!Kweli ZZK ni nouma
 
Nabado mjasema na bado mjalia kwani ni mapema mnooooo!, mnyika mwenye umekaribishwa chadena na zitto na muda ukifika utatimuliwa kama zitto na kama unabisha jaribu kugombea uwenyekiti uone.
 
Tujikumbushe hii taarifa!

Kutoka FB ya Zitto baada ya Mh Lissu kusema kuwa Zitto alipewa magari 2 na Mkono:

"Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini.

Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa.

Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?

Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda. Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote. Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.

They must know I am not a push over. Chacha died, I won't. Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili."

Majibu ya Mh Mbowe baada ya kuhojiwa na Gazeti la Raia Tanzania:

“Mimi nimekuwa nikisimamia ukweli, mtu anapotuhumiwa ni lazima ajibu tuhuma hizo. Ni utoto kuacha kujibu tuhuma na kuzusha tuhuma nyingine. Anapaswa kufanya utetezi wa tuhuma zinazoelekezwa kwake.

Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia. Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani?”
 
Zitto anapendwa na watanzania bila kujali vyama vyao.

Wasiompenda Zitto ni Viongozi na wafuasi sugu wa Chadema tu kwa chuki zao binafsi zisizo na faida kwa taifa.

Kazi aliyoifanya Zitto kwa taifa hili imejionyesha yenyewe.Watanzania wanataka iendelee.Tutamuunga mkono.
Unazidi kuwapa ndimu CHADEMA
 
Viongozi wa CHADEMA hawakujua madhara ya kumfukuza ZZK!? Viongozi wazuri ni wale wenye uwezo wa kuona mbali kabla ya wale unaowaongoza,kwa hali hii wamekosa sifa mojawapo ya uongozi.

Mimi kama mtanzania wa kawaida nililiona hili mapema sana kwa kutumia akili ndogo tu,hawa viongozi wa Chadema walionyesha udini zaidi ktk suala la Zitto kuliko madai yao ya usaliti wa Zitto,sasa matokeo ndio haya.
Madhara watakayopata Chadema ni pamoja na kugawanyika kwa kura za ushindi wa uchaguzi mkuu walizokuwa wanazitegemea,watu wengi nikiwepo mimi huwa nafuata mtu sifuati chama mtu ndio anaongea na watu tunamuelewa sio chama.

CHADEMA jipangeni upya acheni kumfuata fuata Zitto mnapoteza point ambazo tayari mmeshazipunguza. Maamuzi yenu ya kumfukuza Zitto hayakuwa sahihi kwa mwaka huu wa uchaguzi,mmechemsha kinoma!
 
Mlisema hana impact,sasa mnalia lia nini? N hamu sana kumsikia mwanasheria kanjanja ati chama kitapaa mara nane
mwingine alisema Iringa Zitto hata pata watu kumi sasa sijui wanajisikiaje hawa jamaa
 
Tujikumbushe hii taarifa!

Kutoka FB ya Zitto baada ya Mh Lissu kusema kuwa Zitto alipewa magari 2 na Mkono:

"Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini.

Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa.

Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?

Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda. Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote. Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.

They must know I am not a push over. Chacha died, I won't. Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili."

Majibu ya Mh Mbowe baada ya kuhojiwa na Gazeti la Raia Tanzania:

“Mimi nimekuwa nikisimamia ukweli, mtu anapotuhumiwa ni lazima ajibu tuhuma hizo. Ni utoto kuacha kujibu tuhuma na kuzusha tuhuma nyingine. Anapaswa kufanya utetezi wa tuhuma zinazoelekezwa kwake.

Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia. Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani?”

Umesahau kitu alikubLi kupokea hicho kiasi akasema tatizo sio kupokea hicho kias TATIZO umezitumiaje
 
Pamoja na kupokea mwaliko huo muhimu kabisa, jiulilizeni kwa nini Prof Lipumba hakutokea kwenye uzinduzi wa ACT -Tanzania kutoa salaam kwa niaba ya vyama vya upinzani vinavyounda UKAWA??
 
Naanza kwa Kunukuu maneno ya J J Mnyika
"Chadema haiko tayari kuikaribisha ACT-Wazalendo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutokana na kile alichosema ‘ni adui kwao’."
"Katika hotuba yake, huku akinukuu baadhi ya vifungu vya biblia na Quruan, Mnyika aliwataka wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kumkabili Zitto Kabwe kwa namna yoyote kwa kuwa ni adui wa chama chao na ujio wake jijini Mwanza ulikuwa na lengo la kukiharibu chama chao."
1.Tulisema,Chadema imebaki miezi michache kufika uchaguzi,badala ya kupita kwa Watanzania kusema watawafanyia nini mbali na kulipua mabomu tu ya Ufisadi wao topic yao imekuwa ZZK ambaye walishamfukuza na yeye hajawahi hata siku moja kugusia Chadema kwa namna yeyote ile mikutanoni,watu wa chadema humu wakasema "wapi mmemsikia kiongozi wa Chadema akimzungumzia Zitto?"-Jamani nukuu ya Juu hapo ni kutoka kwa Naibu katibu Mkuu.
Kweli Chadema mmefikia hapa? Kweli kabisa mnaacha kuongelea sera kama wafanyavyo ACT mnaamua kudeal na siasa za Name Calling and ZZK is the only name.
Kweli wananchi wanajua sera zenu vizuri kuhusu Kilimo,uvuvi,elimu,Biashara,Mahusiano ya kimataifa,Police Force reform,Judicial System reform,Agricultural Produce markets? kweli wananchi wanajua haya?
USHAURI kwa ACT na ZZK: Staili mpya mlioanza nayo ACT ya kudeal na real issues zinazogusa maisha ya watanzania badala ya Name calling,Character assassination etc muendelee nayo wananchi wanahitaji kusikia hayo,Siasa za Majitaka waachieni wanaoziweza and In the End wananchi watachambua Pumba ipi na Mchele upi.
 
Hivi Kweli Adui ya Chadema is not CCM anymore?? Now is ZZK,6 month before election?
Chadema Mnashindwa kuelewa kuwa kuna asilimia 70 ya wapiga kura hawana Chama,Asilimia 30 ya wapigakura ndio wanachama wa vyama(mwenye akili ataelewa hapa)
 
CHADEMA ikipata wabunge watano mwaka 2015 basi nahama Nchi, kwa mwendo inaodunda nao sa hivi itapata wamachame 3 tu .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom