erasto Samwel
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 211
- 273
Mahakama hizi hizi za ccmACT kama wapo serious waende mahakamani kuzuia uchaguzi hadi mgombea wao arejeshwe!
Mahakama ioneshwe pingamizi lililowekwa kupitia Form 9A iliyotiwa Saini na mpingaji!
Wale wanaopinga uteuzi wa Samia nao wajaze formu Na 9A na kuziwasilisha INEC!
Wahuni washughulikiwe kihuni!
Ndiyo... Kama wapo serious waweke zuio la uchaguzi!Mahakama hizi hizi za ccm
Mahakama zinatii mapingamizi ya ccm tuuNdiyo... Kama wapo serious waweke zuio la uchaguzi!
Sisitiza neno KAMA