Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Kuna TANZANITE tupu kwnye huu uzi, umeniongzea ktu mkuu[emoji39][emoji39]
 
Utakalishwa kila style, usiombe uwe na nywele ndefu zitavutwa mpk upate kizungu zungu 🀣🀣🀣
Huo ni ukatili wa kinjisia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ukitoka hapo hoi
Ukiwa na Rasta si anaweza kuzing'oa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa AGANO jipya si ya KITAPELI?
Kuuza MALI kwa ajili ya DINI ni sahihi kwa upande wako? Je ni lazima niuze zote? Au nigawe kwa msingi wa 10%..?
Yesu alimwambia uza vyote ulivyonavyo wagawie maskini Kisha utakuwa na hazina Mbinguni.

Hakusema auze Kisha akatoe ten parcent ya alichouza.

Ikiwa mtu anaua mtoto wake Ili awe tajiri, waamini Mungu Kutoa 50% wanaona ngumu, Umaskini utawahusu sana.
 
Nikiwa sinaela nakosa confidence ya kupokea wageni πŸ˜€πŸ˜€subir subiri ila mwambie mtumishi kama utaaga kwenye ukoowenu kuwa umepata mwaliko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hela nakuja nazo.. waswas unatokea wapi Mamy..?
 
Yesu alimwambia uza vyote ulivyonavyo wagawie maskini Kisha utakuwa na hazina Mbinguni.

Hakusema auze Kisha akatoe ten parcent ya alichouza.

Ikiwa mtu anaua mtoto wake Ili awe tajiri, waamini Mungu Kutoa 50% wanaona ngumu, Umaskini utawahusu sana.
Ndio maana Wakoloni walituwezea hapo.

Wazee wa Samehe 7 mara 70. Huku anakukandika MIJELEDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…