PAYEgani au ni ile ya Pay As You Earn?
PAYEgani au ni ile ya Pay As You Earn?
Tatizo kima cha chini hakijatangazwa lakini zile asilimia zingine kama wewe sio KCC hazijabadilika, mfano kama mshahara wako ni zaidi ya laki 720, PAYE itakuwa 112500 kujumlisha 30% ya hela iliyozidi kwenye laki 720.
Hizi hesabu hizi......yaani sijaelewa kitu hapa!Yah ni kweli hakijatangazwa lakini hakuna mabadiliko yeyote kwenye asilimia hivyo kwa mapato yasiyozidi 720,000 fomula inabaki vile vile yaani katiya 135,000 na 360,000 kodi ni 14%, na kati ya 360 hadi 540 ni 31,500 ongeza 20% ya kiasi kinachozidi sh 360,000na 540,000 hadi 720,000 ni 67,500 ongeza 25% ya kiasi kinachozidi 540,000.
Hizi hesabu hizi......yaani sijaelewa kitu hapa!
tehe tehe teheeee,hhhoiteh teh teh teh, itabidi tukutumie mtu wa Tuition.
Hizi hesabu hizi......yaani sijaelewa kitu hapa!
Pole sana! Hesabu ni kaugonjwa ka taifa usijali...Nitajie mshahara wako nikufanyie hesabu take home itakuwa sh ngapi pengine utanielewa.
Pole sana! Hesabu ni kaugonjwa ka taifa usijali...Nitajie mshahara wako nikufanyie hesabu take home itakuwa sh ngapi pengine utanielewa.
Mbongo akutajie mshahara wake ...thubutuuuuuuuuu!
House allowance 120,000.
Gross pay 1,916,666.
Naomba ni kalkuletie teki hom
Ni kweli mkuu UMEKOSEA,NSSF ni tax exempted inabidi gross salary utoe NSSF kwanza then balance ndio u calculate PAYE! Kama wafanyakazi wako unawakata Paye kabla hujatoa NSSF pole zao! Lakini hii ndo JF mahali pa kujifunza maarifa mengi.wote twajifunza.Vivian kabla sijaanza mahesabu naomba nikopeshe japo 50k.Here we go:Step 1: 120,000 + 1,916,666 = 2,036,666Step 2: 2,036,666 - 720,000 = 1,316,666Step 3: 1,316,666 x 30% = 394,999.80Step 4: 394,999.8 + 112,500 = 507,499.80 (PAYE)Step 5: 2,036,666 x 10% = 203,666.60 (NSSF)Unayompelekea Mr. nyumbani itakuwa 1,325,488.60 (i.e 2,036,666 - 507,499.80 - 203,666.60)Wahasibu watasaidia kama nimekosea
Hebu fanya hii nisije nikawa naibiwa...
Nalipwa gross: 800,000/-
Ni kweli mkuu UMEKOSEA,NSSF ni tax exempted inabidi gross salary utoe NSSF kwanza then balance ndio u calculate PAYE! Kama wafanyakazi wako unawakata Paye kabla hujatoa NSSF pole zao! Lakini hii ndo JF mahali pa kujifunza maarifa mengi.wote twajifunza.
House allowance 120,000.
Gross pay 1,916,666.
Naomba ni kalkuletie teki hom