kwani usipopewa kuna ubaya gani?
na kama kweli pesa ndio mapenzi, kwann ke asitoe hela na yeye! au mapenzi ni kwa upande m1 tuu?
He!.....sisi ni wababes......hatuwezi kutoa hela.........khaaaa..........
Acheni uongo mke bora analetwa na mungu
nameless girl ya kweli haya?
Sio vizuri mjue nyie wanaume kusema hivyo...........mnatukwaza........
Kwani binamu bado una search tu...???
Ila sijui kama naweza kuficha ukweli ....
Sio kwangu binamu........ni kwa wanawake wenzangu wanaonyanyasika na huu unyanyasaji.........tunanyanyaswa sana na maneno kama haya..........women support women you know........hi hi hi hi........