Mbona hapo anafaidi akiwa mzee na wewe unatwambia tufaidi tukiwa vijana....viceversa.Ewe KIJANA mwenzangu wa KIUME.
Naongea na wewe kijana mwenzangu uliye SINGLE kama Mimi.
Kuna KANUNI 3 KUU za MAPENZI ya SIKU HIZI, bila hizo ni MAUMIVU TU....
1. Tafuta hela.
2. Usiache kutafuta sanaa mkwanja.
3. Yaani piga ua garagaza LAZIMA ue na pesa.
Bila mtonyo WATOTO WAZURI wotee utaishia Kuwaita SHEMEJI.
Kwani we hutaki kula papuchi za watoto wazuri zilizo tamu..??
Haya Tafuta Maweee....
NB:
Bachelor mwenzangu TAFUTA PESA then zitumbue kwanza ukiwa single.
Kula kwanza nguvu zako kwa nafasi iliyo huru halafu ndio uoe.
Yaani vile unapata hela hapohapo ndio unaoa... Dah MAJANGA HAYA.. HATA UFAIDI pesa zako ulizotafuta kwa jashoo ukiwa singel..!!!
Ila pia usisahau Dangote na mwenzake Benzos (Amazon) WAMEKIMBIA NDOA zao..!!!
Tajiri wa Africa na Tajiri wa dunia WAMEKIMBIA NDOA ZAO.
Yaani ma role model wa KUTAFUTA hela wameachana na wake zao, wewe mwenzangu bank account ina digit chachee kama marks za mitihani ya combination za PCB na PCM halafu UNAKIMBILIA HUKO kwenye ndoa...!!!!
#Mcheki mzee anavyofaidi (picha).
#Mkono mtupu haulambwi..
#YNWAView attachment 1412801
Wrote from Anfield..!!
Nioe ili aje kunifilisi..!!??Kama ni ww tu nakuacha sibishani na ww kwa sababu hautaki kuoa[emoji23][emoji23]
Eg:-usidanganye wenzio.......ni mbinu na mikakati.....wanapatikana tuu......ila huyo uliyemuweka sijaona uzuri wake.....wanawake wote wazuri.....ishu ni CHAGUO lako......
EPL inaendelea Mwezi ujao na UEFA msimu unafutwa...Tokea corona ilivyoanza kuchanganya,mashabiki wa Liverpool wanatapatapa sana
Pesa ni kwa ajili ya STAREHE.Ni muhimu sana kutafuta pesa sema inasikitisha sana pale dhumuni lako kuu la kutafuta pesa ni kwa ajili ya wanawake.
Kama dhumuni lako ni kubadilisha warembo daily, just know female nature and have game, utawachoka.
Hahahaa mtu yeyote mwenye ideology ya kutafuta pesa ilinahonge wanawake wampende kwanza inaonekana ni akili za kimaskini. Pili hawezi.kamwe kuzipata ataishia hivyo hivyo mpaka anakufa. Anamtazamo.mbay juu ya pesa.Ni muhimu sana kutafuta pesa sema inasikitisha sana pale dhumuni lako kuu la kutafuta pesa ni kwa ajili ya wanawake.
Kama dhumuni lako ni kubadilisha warembo daily, just know female nature and have game, utawachoka.
Kilio cha vijana ni kupigwa mizinga Sanaa.Power of imagination!!!
Kilio cha vijana ni kupigwa mizinga Sanaa.Hahahaa mtu yeyote mwenye ideology ya kutafuta pesa ilinahonge wanawake wampende kwanza inaonekana ni akili za kimaskini. Pili hawezi.kamwe kuzipata ataishia hivyo hivyo mpaka anakufa. Anamtazamo.mbay juu ya pesa.
Pesa hazitako masihara. Ukiwa mhongaji hufiki mbali. Watu wanaanza kuhonga wakishakuwa mabilionea sasa wewe anza kuhonga na kakipato kako ka laki sita lwa mwezi uone. Utaishia kulalamikia serikali.
Ndio maana hawatakiwa kutafuta pesa kwa idea ya kuhonga. Wataishia kulialia hivyo hivyo.Kilio cha vijana ni kupigwa mizinga Sanaa.
Unadhani wangekua na pesa wangelialia?
Mizinga = Pesa
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
When your building your future you should refresh...Kama unatafuta pesa ili umiliki warembo;basi umasikini wako utaanzia hapo.
Usitafute pesa kwa mihemko hiyo, hakika watazitafuna na utabaki zero kabisa.
Build your future tu, wenyewe utawapata tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mademu sio wa kuhangaika nao, ukiona hivyo bado wewe huna pesa. Make your good personal entity mengine yatafata.Kama unatafuta pesa ili umiliki warembo;basi umasikini wako utaanzia hapo.
Usitafute pesa kwa mihemko hiyo, hakika watazitafuna na utabaki zero kabisa.
Build your future tu, wenyewe utawapata tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hela ili maisha yawe rahisi.Ndio maana hawatakiwa kutafuta pesa kwa idea ya kuhonga. Wataishia kulialia hivyo hivyo.
Demu gani wa sasa atakaekuelewa bila hela?Mademu sio wa kuhangaika nao, ukiona hivyo bado wewe huna pesa. Make your good personal entity mengine yatafata.
Kuwapata utawapata ila tegemea kuchapiwa tu, na sisi wapwa hatutakuangusha kuchangia uzi wako ukija kujiliza JF.usidanganye wenzio.......ni mbinu na mikakati.....wanapatikana tuu......ila huyo uliyemuweka sijaona uzuri wake.....wanawake wote wazuri.....ishu ni CHAGUO lako......
AsanteKuwapata utawapata ila tegemea kuchapiwa tu, na sisi wapwa hatutakuangusha kuchangia uzi wako ukija kujiliza JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ya KIBABE HASAA...
endelea kukariri...Eg:-
Diamond akiwa muokota siso alikua akimuona wema kwa kioo.
Ila unajua NINI kilifata baada ya Diamond kuupata mtonyo?
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
kuchapiwa hakukwepeki.....kama wewe wachapa wa wenzio wafikiria nini....Kuwapata utawapata ila tegemea kuchapiwa tu, na sisi wapwa hatutakuangusha kuchangia uzi wako ukija kujiliza JF.
Sent using Jamii Forums mobile app