Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,863
KANUNA 20 ZA KUENDESHA MAGARI YA KUTEMBELEA
1. Ukiwa highway habari za kukatikiwa mafuta utoke kukimbizana na vidumu sheli au kuomba kunyonyewa ,hatutaki ,unatuzingua mkuu .....kwani gauge haisomi ?
2. Mwisho wa kutembea na spare tairi ni masaa 24 , niamimi Mimi aisee hii inaleta respect kinamna kwa sisi wamiliki .
3.Mafuta ya vibobo utadhani pikipiki za kina Ihema au Hamisi wa Usangi kausha , jichange peleka mchuma Sheli .
4.Usiwe overtaked na Trekta aisee unatuaibisha .Hata Kama trekta anaendesha Shumaka , usipitwe .
5 .Kujipiga selfie highway tena uko 80 ,acha hii ilileta shida Sana pale Durban South Africa .
6.Ukiona mtoto mkali mtaani punguza speed , mcheki geuza shingo huku umeegemeza mikono miwili juu ya stelingi , akitabasam punguza kabisa speed .
7.Safari ya mbali usikose kusafiri na Wakuu kuliko mademu , huwa kuna zile chuma imezingua , Wakuu ni rahisi kuwa na uvumilivu kuliko mademu .
8. Ukiwa na mtoto mkali unapita mitaa unayojiamini shusha kioo kimtindo , hii ni kuleta security , niamini mimi .
9.Unagonga mziki kinu kinalia Kama club , huo utoto mkuu . Music sauti flani inaleta umakini road .
10. Kupiga piga honi kitaa acha , kwani unafungua geti mkuu ?
11.Pokea simu za maana tu ukiwa road ,hizi long call za habari za ukoo,mara mnakumbushana habari za shule ya Sekondari ,kausha .
12 .Gari ya dem na uko nae garini kisha unaendesha speed 120 huku umevua shati , mkuu unatuangusha, Walienda Beijing hawa.
13.Kuchunachuna break kausha .
14.Ukisimamishwa na Traffic simama mbele yake kidogo , hii huleta respect kwa sisi wamiliki tukikuona .Hii kanuni imetumika Sana Abuja Nigeria .
15.Usikose maji ya kunywa ndani ya ndinga .
16.Usilewe ukadraivu kama huwezi hizo mambo.....na usilewe kabisa ndiyo Sheria zinavyosema.
17.Usimpe lift kila unaemuona ,wengine wana lawama au utafuata ratiba zao ,Kuna raia wana vipawa vya ushawishi .
18.Usifuate deni lako huku unadraivu ,hii mbinu haionekani kuwa na matokeo mazuri ,Muulize Hossen Mkwaruno wa Mwanga .
19.Kupiga misele tu acha , fuata issue za msingi .
20.Kuwa fundi kimtindo sio kila tatizo unakimbia gereji ,tafta uzoefu.
Imeandaliwa na Ihema Mfanga (Mwendeshaji wa Porus ya Hussein )