Kanuni 17 zilizobadili dunia.

Kanuni 17 zilizobadili dunia.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,311
Reaction score
12,201
1080231
 
Go depeer with explainations...how could those simple formulas led to changes in the world....
Mfano hiyo Pythagoream Theorem inatumika sana kwenye ujenzi pale unapoweka vipimo. Hata kama hujui hesabu lakini ukiwa mjenzi hii formula unaitumia.
Unaweza itumia kwenye safari kupanga utumie njia gani ya mkato kufika haraka eneo unalotaka fika. Mabaharia wanaitumia zaidi.
 
Only that? Can you go beyond that single formula?(I mean how about others you have mentioned e.g how can we apply logarithims in our local Tanzanian life?)
 
Ukijua hesabu vizuri kuna fursa ya kula papuchi za watoto wakali + fursa zinginezo ukiwa unasoma na unawafundisha

nonsense ila ina make sense.
 
Only that? Can you go beyond that single formula?(I mean how about others you have mentioned e.g how can we apply logarithims in our local Tanzanian life?)

Ungekua umesoma sayansi usingesumbua hivi

Kuzielezea zote ni masomo zaidi ya miaka 14 darasani

Unampa jamaa mzigo wa ajabu

Wewe google ujisomee utaona kila kitu

Hapa hapatoshi
 
Only that? Can you go beyond that single formula?(I mean how about others you have mentioned e.g how can we apply logarithims in our local Tanzanian life?)
👇👇👇👇👇
Kuzielezea zote ni masomo zaidi ya miaka 14 darasani
Unampa jamaa mzigo wa ajabu
Wewe google ujisomee utaona kila kitu
Hapa hapatoshi
 
Hazijabadili chochote kama wanawake hawataacha kuomba Pesa!
Ukiisoma idea ya Logarithms utapata ka idea unaitumia na wao wanaitumiaje.
 
Euler’s Formula for Polyhedra
V+F=E+2

sending rockets throughout space and understand DNA replication.

1080423
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom