Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

Pumbavu kabisa wewe,unajua unasumbuliwa na kutojiamini,inchi sita ni kibamia?
Maumbile ya watu yapo tofauti wengine ikilala inakuwa ndooogo lkn ikisimama inakuwa kubwa,wengine ikiwa imelala ama kusimama size ni ile ile,
Nadhani umeathirika na picha za ngono sasa unataka kujilinganisha na wale,
Mpumbavu kabisa wewe,unatusumbua na ujinga wa tamaa zako,jifunze namna sahihi ya kumjamii mwenza wski,tena tafuta mke funga ndoa mpumbavu wewe,unaanza ujinga wa kutafuta madawa utotoni wakati watu tuna 43 hatujawahi kujiboost na bado tupo gado

Naona umempa za uso!!!!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Dah nimecheka sana......jamaa umemind sana huyu dogo misotojo yake.
 
Hapana mkuu nchi 8 au 7
Inchi 8 au 7 ni ndefu sana......na utakuwa unawaumiza wanawake wengi maana watakuwa wakiingiza wanaisikia inagusa mji wa uzazi na wataumia.

Kama upo inchi sita ni standard kabisa ......

Wewe unashangaa nchi sita kuna watu ikisimama ni inch tatu kamili au na nusu, sasa umejaribu kuimagine wanajisikiaje na wanafaidi nini?! Hao ndio vibamia sasa.
 
Back
Top Bottom