Kanuna eti kisa hajapishwa siti ya daladala akae na mwanae

mimi sikuhiz sipishi ng'ombe yoyote seat, yaaan labda uwe na mguu mmoja... Mjamzito Mzee Mlemavu wa kawaida tu au Mama mwenye mtoto I don't care utasimama mbele yangu mwanzo wa kituo hadi mwsho wa safar na sipepesi macho pembeni
Duh

Ova
 
Lakini hili suala ni kweli. Hua sioni logic kabisa ya mtu mwenye ishu kama mimba au mwenye mtoto mdogo kung'ang'ania kupanda gari iliojaa akitegemea apishwe kiti. Kweli hua nasema tusameheane tu, maana unakuta mtu umefight hatari mpka kupata siti af uje uipishe kirahisi?
Makwazo mengine tunatafutiana kienyeji
 
Hata dushe na papuchi sio lazima ufe nayo
Zikiondolewa kwa nguvu ndio chanzo cha kifo.
Heshimu hivyo viungo kama upo pekee yako kibusu kiungo chako sasa iwe dushe au papuchi.
Heshima uliyo nayo leo ni kutokana na hicho kiungo.
Sema asante Mungu.
 
Mzee simpichi siti (mmama,mbaba, mbabu mbibi), nampisha mjamzito, mgonjwa na mlemavu tuu.
 
Back
Top Bottom