Kanumba & Kigosi

Kamwe filamu haitakuwa na uboro kama story, script, director na steering mkuu ni mtu huyo huyo. Naona hawaelewi kuwa filamu nzuri ni ile inayo shirikisha vichwa vingi, kwani makosa yatapungua sana.
 
Kamwe filamu haitakuwa na uboro kama story, script, director na steering mkuu ni mtu huyo huyo. Naona hawaelewi kuwa filamu nzuri ni ile inayo shirikisha vichwa vingi, kwani makosa yatapungua sana.

hapo kwenye red, unamaanisha au makosa ya kiufundi?
 

Inawezekana kwani naamini hawa jamaa bado wapo katika low budget filming, kwa kumaanisha wataalamu tofauti na wao kwa hapo bongo sijui kama wapo kulinganisha na malipo, kwani kulingana na hali inavyoonyesha wao wameshakuwa ndiyo hiyo bongo movie yenyewe. Ninavyofahamu, wabongo wamekuwa kwenye filamu kwa kuigiza aina ya uigizaji wa Nigeria, kwahiyo na wataalamu wa filamu wanaoingia kwenye filamu wanawaigiza akina kanumba. Suala nadhani linakuja pale pale ili kuweza kuweka watu tofauti wenye uwezo mkubwa zaidi ya hawa jamaa inabidi hela ya ziada itumike kwa kuwalipa na pia kukubaliana na jinsi style ya wasanii wanavyotaka. Nilishawahi kutembelea Taasisi moja isiyo ya kiserikali hapo Dar, kwa kweli nilishangazwa na jamaa wanavyo fundisha vijana wadogo kuigiza, kwani huyo mwalimu mifano yake ni ile ile ya Kanumba na Ray, mtu akikerwa lazima sura aikunje kama anateswa. Lakini naamini filamu za Tanzania zina njia ndefu ya kufikia mafanikio ya dunia, lakini kuna hatua inapigwa kila siku zinavyokwenda mbele kwa jinsi ninavyohisi manake mimi siangalii hizo kwa sababu sipo karibu nazo kwasasa, Muhimu Tuendelee kutoa maoni yanaweza kusukuma maendeleo ya filamu, Nawakilisha.
 

kumbe wewe ni mteja wao!
 
Kamwe filamu haitakuwa na uboro kama story, script, director na steering mkuu ni mtu huyo huyo. Naona hawaelewi kuwa filamu nzuri ni ile inayo shirikisha vichwa vingi, kwani makosa yatapungua sana.

samahani natumia simu huwenda sioni vizuri,umeandika UBORO?ndo nini?
 

kuna tofaut kubwa kati ya KUWAKILISHA NA KUWASILISHA
 
yani kweli we still have a long way to go kwa kuwa hata vyuo vya filamu hapa tz walimu wanafundisha wanafunzi wao kwa ku refer ray na kanumba. Udom kuna b.a in fine art and perfoming, lakini utakuta mwalimu anawambia we huoni ray hapo alipoigiza au anawambia tafteni movie flan ya kanumba muangalie,
Wakati mimi akina kanumba na ray naona upupu mtupu.
Kuna jamaa flan ni mwalimu wa sanaa udom aliwahi mfuata kanumba na kumwambia kuwa movie zake kuna vitu anaweka ambavyo havitakiwi kwasababu uigizaji wa namna hiyo ni wa stejini na uigizaji wa stejin na wa movie ni tofauti. Alicho jibiwa ni kwamba mind your own business i dont care as long as nauza.
Lakini angemsikiliza mwenzake kasomea hayo mambo nje na anajua.
All in all filamu za bongo ni upupu mtupu hasa ray
 
dah,hizi sifa anazopewa kanumba baada ya kufa haziendani kabisa na hii thread.
 
filamu za kibongo zinapendwa sana halina ubishi ingawa bado zipo kwenye kiwango cha chini mm ni mmoja wa watu ambao sizipendi ila nkiwa sina cha kufanya kabisa naziangalia hasa za kanumba so msibeze watanzania waliojitokeza kwenye mazishi yake mana kwao alikua the great actor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…