Acha uhuni uo, Unazifaham dola milioni 104 au unazitaja tu.
Kwa nini asiwe nayo.Hii habari ipo kama ilivyo kwenye mwananchi jumapili kwa hiyo mleta mada yupo sahihi, unahisi Kanu hawezi kuwa na utajiri huo?
Ikon ni nani?
Ikon ni nani?
Ikon ni nani?
Una namba ya Rama Ighondu?dogo kumbe yuko vizuri!!!
Una namba ya Rama Ighondu?