UkomboziMpya
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 465
- 179
Majina mengine kuyaongelea ni km unajitafutia matatizo!
Vibaraka wa Mbowe mnapata shida sana wakati huu.
Mnapaswa kujua bosi wenu amevunja sheria, na tayari yuko matatizoni.
Kwani kuna ubaya gani wakipambana na Mbowe acheni demokrasia ichukue mkondo wake.
Kwani kuna ubaya gani wakipambana na Mbowe acheni demokrasia ichukue mkondo wake.
Mbaruku atampa mbowe kipigo cha mbwa mwizi
Kansas mbaruku ni chaguo la mungu
Inakuuma eeh? Mtalia sana mwaka huu.Mbowe ndio anatakiwa aondolewe kwa kukosa vigezo
Hili jamaa limenunuliwa na magamba. ..ama kweli magamba mna kazi
Msajiri, CCM Original, CCM - Act, CCM - TLP na CCM - UDP wote macho na masikio yao ni kuhakikisha Mbowe hapiti ktk uchaguzi huu.
Mungu hana unafiki na lazima Mbowe, mtetezi wa wanyonge wa nchi hii atashinda kwa kishindo na kuendelea kuipaisha CHADEMA.
OLE WAO MAGAMBA MCHANGANYIKO.
Kwani kuna ubaya gani wakipambana na Mbowe acheni demokrasia ichukue mkondo wake.
Kwa nini mnataka tuamini kuwa CDM ni lazima wamuondoe Mwenyekiti wao kwa amri ya CCM kupitia Msajili wa vyama vya siasa? Hamuoni kuwa kama CDM bado wanamhitaji ni vigumu kumuondoa kwa kutumia nguvu toka nje ya chama chao!
Fransis Mutungi aneshapoteza sifa ya kuwa mlezi wa vyama vya siasa amebaki kushabikia ccm & act basi.
Huyu msajili anayeingilia na kutaka kutuchagilia kiongozi tu kwa kuwa ni chama tishio kwa serikali na washirika wake hafai kuitwa tena msajili wa vyama. Ofisi ya msajili vyama
imefanywa kuwa kama uvccm au uwt itapata wapi heshima tena.
Ni dhahiri sasa ccm imechoka kweli kweli inafafuta ahueni kwa kutumia tena wachovu wenzao mfano zito &kansa mbaruku
Mwenyekiti mpya wa chadema mheshimiwa KANSAS MBARUKU.
atadhibitiwa vibaya sana !