Kansa Mbarouk: Msajili wa vyama vya siasa atanilinda

Ukiona mbwa anabweka sana jua nyuma yake kuna boss wake unawaona hawa wakina Ifweero, laki si pesa, T2015ccm inaonyesha wazi kansa nimtu wao wa ccm aliyetumwa sasa nawapa tarifa Chadema tupo makini natumeshamjua endeleni kupenyeza magumegume tu mkifikiri mtaweza ngome yachadema nimeshawambia nanitazedi kuwambia chadema nimpango wa Mungu
 
Asante Kamanda.Umewaeleza ukweli Makuwadi wa Kisiasa
 
Chadema si chama cha mizaha kama ccm we kansa unalo very idiot
 
Kanza mbona sasa ameshajiondolea sifa za kuongoza chama? Mtu anayetapatapa kutafuta uhalali wa kuongoza chama kwa nguvu ya kutoka nje, atajenga chama cha aina gani? Atakuwa mwenyekiti wa Francis msajili ama wa chadema? Na ikiwa wanachadema wenyewe hawamtaki, atawaongozaje kwa shinikizo la msajili? Huu kweli ni wehu.

Huyu mtu anayekimbilia kushitaki chama chake kwa third parties kama hatakuwa kiongozi, ni kiongozi wa namna gani huyu zaidi ya wenda wazimu?

Bwana Kanza, nadhani hadi hapo umeshajianika vya kutosha kwamba wewe huna mapenzi na chama, wewe huna haiba ya uongozi, wewe huna ujasiri, dira wana nia sahihi ya kuimarisha chama. Umejiabainisha ni kwa namna gani unaendekeza migogoro na migawanyiko kwenye chama. Umejidhihirisha ni kwa namna gani unasera za kishamba na kizandiki kutaka msajili akusaidie kupata uongozi wa chadema ili uongoze kwa haki za makaratasi badala ya utashi wa wanachadema.

CHADEMA msimpte hata nafasi ya kusonga mbele huyu jamaa kwa sababu, the moment mnamweka kwenye uongozi, wanachama wote watapukutika maana hafai na hana nia nzuri. Atabaki peke yake. Kwa maslahi ya chama mwondoeni aende ccm ama act kwa watu wake.
 
Kwani kuna ubaya gani wakipambana na Mbowe acheni demokrasia ichukue mkondo wake.

Kwani nani kamzuia? Hizo hisia kuwa ataenguliwa si ni zake tuu? Yeye ndiye meenda kwa msajili kupeleka barua ya pingamizi (sio kapeleka kwa chama) kumzuia Mbowe. Sasa demokrasia gani imezuiwa na chama? Ritz nawe usiwe kama hao laki si pesa & co maana wewe pamoja na ushabiki ulionao IQ yako iko juu sana kulinganisha na hao jamaa.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kanza mbona sasa ameshajiondolea sifa za kuongoza chama? Mtu anayetapatapa kutafuta uhalali wa kuongoza chama kwa nguvu ya kutoka nje, atajenga chama cha aina gani? Atakuwa mwenyekiti wa Francis msajili ama wa chadema? Na ikiwa wanachadema wenyewe hawamtaki, atawaongozaje kwa shinikizo la msajili? Huu kweli ni wehu.

Huyu mtu anayekimbilia kushitaki chama chake kwa third parties kama hatakuwa kiongozi, ni kiongozi wa namna gani huyu zaidi ya wenda wazimu?

Bwana Kanza, nadhani hadi hapo umeshajianika vya kutosha kwamba wewe huna mapenzi na chama, wewe huna haiba ya uongozi, wewe huna ujasiri, dira wana nia sahihi ya kuimarisha chama. Umejiabainisha ni kwa namna gani unaendekeza migogoro na migawanyiko kwenye chama. Umejidhihirisha ni kwa namna gani unasera za kishamba na kizandiki kutaka msajili akusaidie kupata uongozi wa chadema ili uongoze kwa haki za makaratasi badala ya utashi wa wanachadema.

CHADEMA msimpte hata nafasi ya kusonga mbele huyu jamaa kwa sababu, the moment mnamweka kwenye uongozi, wanachama wote watapukutika maana hafai na hana nia nzuri. Atabaki peke yake. Kwa maslahi ya chama mwondoeni aende ccm ama act kwa watu wake.

Tunamjua usihofu mkuu...

Huyu ni Kibaraka wa CCM..

Kwa sasa anamtumia Kada wa CCM Msajili Francis Mutungi kutaka kuvuruga uchaguzi.

Hawataweza!!
 
Kanza mbona sasa ameshajiondolea sifa za kuongoza chama? Mtu anayetapatapa kutafuta uhalali wa kuongoza chama kwa nguvu ya kutoka nje, atajenga chama cha aina gani? Atakuwa mwenyekiti wa Francis msajili ama wa chadema? Na ikiwa wanachadema wenyewe hawamtaki, atawaongozaje kwa shinikizo la msajili? Huu kweli ni wehu.

Huyu mtu anayekimbilia kushitaki chama chake kwa third parties kama hatakuwa kiongozi, ni kiongozi wa namna gani huyu zaidi ya wenda wazimu?

Bwana Kanza, nadhani hadi hapo umeshajianika vya kutosha kwamba wewe huna mapenzi na chama, wewe huna haiba ya uongozi, wewe huna ujasiri, dira wana nia sahihi ya kuimarisha chama. Umejiabainisha ni kwa namna gani unaendekeza migogoro na migawanyiko kwenye chama. Umejidhihirisha ni kwa namna gani unasera za kishamba na kizandiki kutaka msajili akusaidie kupata uongozi wa chadema ili uongoze kwa haki za makaratasi badala ya utashi wa wanachadema.

CHADEMA msimpte hata nafasi ya kusonga mbele huyu jamaa kwa sababu, the moment mnamweka kwenye uongozi, wanachama wote watapukutika maana hafai na hana nia nzuri. Atabaki peke yake. Kwa maslahi ya chama mwondoeni aende ccm ama act kwa watu wake.

For sure your Great Thinker!!
 
Nina wasiwasi hata siri za nyumbani kwake anapeleka kwa jirani.Hafai hata kuongoza kuku.Kama kweli ana mapenzi na CDM alitakiwa kufanya siaa zake ndani ya CDM.Sasa kama ndivyo aayanyavyo akikosa KURA si atarudi kwa msajilli kumwambia sijachaguliwa naweka pingamizi?Hivi ni lini hawa jamaa wataelimika kuhusu upinzani?Naye huyo Msajili anajiharibia tu na kuondoa heshima yake ndogo aliyonayo kwenye jamii,yaani pamoja na kuwa ni Hakimu duh kazi tunayo sheria na elimu yake yote kaiweka kwenye kapu.
 
Hawa ni Makuwadi tu wa kisiasa!
 
Hivi watanzania siasa zetu zinaenda wapi mtu ukitangaza kugombea wanasema kibaraka hivi kweli democracy ipo wapi ambayo tunahubiri kila siku tumuache agombeee maana kugombea sio kushinda tuache siasa za maji taka hizi
 
Mgombea Uenyekiti CHADEMA Kansa Mbarouk amejitapa atalindwa na Msajili wa vyama vya siasa Francis Mutungi endapo kama Kamati ya uchaguzi ya chama hicho itaondoa jina lake kwa kukosa vigezo

Akizungumza na Radio VOICE OF TABORA Kansa Mbarouk amesema endapo kama jina lake litaondolewa atashtaki kwa Msajili wa vyama Francis Mutungi na anaamini atarudisha jina lake kwani anayo Imani kubwa na Msajili huyo.

Amedai anafuatilia kwa ukaribu kila kinachoendelea katika uchaguzi wa chama chake na atawasilisha ripoti kamili kwa Msajili wa vyama.

Mbarouk amedai kufurahishwa na kauli ya Msajili Francis Mutungi aliyoiotoa leo kuunga mkono Pingamizi lake dhidi ya Mgombea Uenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe.

Kansa Mbarouk amekuwa akidaiwa kuwa ni mwanachama wa chama cha ACT Tanzania chama kinachosemekana kufadhiliwa na CCM

MY TAKE:

Ni wazi sasa ofisi ya Msajili wa Vyama imejiweka wazi kwamba inatumiwa na maadui wa Chadema kuangamiza chama hiki.Kitendo cha Msajili Francis Mutungi kuchekelea pingamizi dhidi ya Mbowe ni kujianika wazi yeye ni kati ya maadui wa Chadema.

Huyu Kansa Mbarouk amekuwa akifanya kazi za CCM kupitia ACT pale Tabora kwa muda mrefu na ameshahojiwa na chama mara kadhaa.Ni demokrasia tu ya Chadema iliyovuka mipaka kumuacha Mbarouk kuwa ndani ya chama hiki mpaka leo kwani alitakiwa awe amefukuzwa siku nyingi.

Nimhakikishie tu Msajili Francis Mutungi kwamba mbinu zinazoratibiwa na ofisi yake kwa kushirikiana na CCM kamwe hazitafanikiwa kuvuruga Chadema.Zitashindwa kama mbinu nyingine zilizowahi kufanywa!!
Mimi naona hii Cancer iondolewe haraka tuone huyo msajili atafanya nini!! maana atashirikiana na nani au ataongoza nani kama tegemeo lake ni nje ya CDM!!
 
Mbowe ni janga, atafia madarakani kwenye saccos ya mkwe

Dada naona povu linakutoka kweli,mlipewa maelekezo kumchafua mbowe mmechelewa sana mbona,kumbuka maelekezo mliyopewa Lumumba kawaambieni Mbowe hachafuliki.
 
Mbaruku hashambuliwi kwa sababu kagombea uongozi. Anashambuliwa kwa anayoyafanya wakati akisubiri amchuano na ndiyo yanayyo mdis qualify machoni kwa wana CDM. Utaokuwa so irrational kusema siasa za Watanzania bila kuangalia nani wanasema nini na kwa sababu gani. Duniani kote wagombea kuwa makini zaidi hasa katika kipindi cha mchakato wa uchaguzi . Kwa hiyo huwezi kuwazuia watu kushangaa ama kushangilia ubovu ama uzuri wa mgombea wao. Unapaswa kuona mambo kwa undani kuliko sura yake ya nje.

Hivi watanzania siasa zetu zinaenda wapi mtu ukitangaza kugombea wanasema kibaraka hivi kweli democracy ipo wapi ambayo tunahubiri kila siku tumuache agombeee maana kugombea sio kushinda tuache siasa za maji taka hizi
 
WanaJF,

Binafsi nafurahishwa sana na michango ya wadau humu ndani. Lakini nachukizwa sana na maneno ya kashfa, matusi na kejeli zinazotolewa humu jamvini. Kiustarabu, haina sababu yoyote kumkashfu mtu, tuandike hoja, tuijengee uwezo wa kukubalika na mwisho wajumbe humu ndani watatoa michango yao.

Matusi si heshima hata kidogo. Wala kumtukana mtu hakuongezi umri wa kuishi na wala huimpunguzii mtu umri wa kuishi pia. Nashauri tuwe wastaaribu. Kama ni kukosoa kuna aina nyingi za kukosoa siyou lazima matusi.

UTU wa mtu usidhalilishwe. Kama hoja inajengeka basi ijengwe kwa hekima na busara. Naomba kuwasilisha.

Back
Top Bottom