Kanjanja mkware nikatia timu msibani…!

Kanjanja mkware nikatia timu msibani…!

Hahaa, Matangazo yameisha. Mtambuzi endelea tafadhari

Mbona huna dogo mkuu?
Siwezi kusimulia kila kitu, nishasema mzazi mwenzangu ni mwanasheria mnataka nifunguliwe mashitaka ya defamation na kudaiwa fidia kwa kudhalilisha?

Isije ikawa yuko humu JF ananisoma....! Ukute ndiye BADILI TABIA.......Mai weeeeee nimekwisha...................LOL
 
Last edited by a moderator:
aminachifupa9.jpg

hivi ingekuwa wakati wa kuumwa mamia ya watu wangekuwa wanakuja kukusalimia hivi angalau mara moja kwa wiki, si kupona kunakuja automatically kutokana na caring kama hii?
 
Mama Ngina anajua kuwa mie nilikuwa mkware na ndio maana akanipenda, maana anajua vimwana weshanikinai, na nimeshakuwa kama Fisi aliyeshiba mifupa hata mizoga sitamani.................

hahahaha kweli mama Ngina alitumia akili na anajua barabara imara ni ile iliyopita magari ya kila aina
 
manoah nishasema mimi nilikuwa mpiga picha bana.....
Huyo Dudu si alishafariki? au taarifa nilizopata hazikuwa sahihi?
mtambuzi , ni kweli huyu bwana alishafariki... Nilikua na prove maana ungesema humjui huyu mtu ningekua na warakini na wewe. Jioni Njema
 
mtambuzi , ni kweli huyu bwana alishafariki... Nilikua na prove maana ungesema humjui huyu mtu ningekua na warakini na wewe. Jioni Njema

Mkuu bado napata up dates za Tabora maana nilikuwa na marafiki wa ukwee kibaaaaao.............
 
Dah! Stori nzuri sana na ina mafunzo ndani yake.
 
Mkuu bado napata up dates za Tabora maana nilikuwa na marafiki wa ukwee kibaaaaao.............
Pale kaka kuona ulikua unapafahamu, walikua mafundi wa furniture, je Hussein ally seif ulikua unamfahamu! huyu jamaa nae alikua na studi ya kusafisha picha.... Msamilie mama watoto wako
 
Pale kaka kuona ulikua unapafahamu, walikua mafundi wa furniture, je Hussein ally seif ulikua unamfahamu! huyu jamaa nae alikua na studi ya kusafisha picha.... Msamilie mama watoto wako

Yeah, jina si geni kwangu, yawezekana namjua si unajua ilikuwa ni some time kitambo,
Watu wangu walikuwa kina Sheby Du, na wakware wengine wa anga za Cheyo ambao tulikuwa tunafukuzia vibinti vya shule....

Mama watoto yuko pouwa kabisa.........
 
Sheby Du, huyu jamaa na mfahamuu vizuri sana.... hua anapatikana sana maeneo ya kanyenye...
 
Sheby Du, huyu jamaa na mfahamuu vizuri sana.... hua anapatikana sana maeneo ya kanyenye...

Yeah ndiye huyo huyo, sijui yupo hai au kesharudisha namba maana nilipata habari machizi kibaao wa kitaa waliokuwa wanaongoza kwa kufukuzia vibinti wameshavuta kitambooo kwa ngoma..

Duh! mie kweli ni Nyani Mzee maana nimekwepa mishale kibao mpaka sasa naelekea uzeeni, busara na hekima ndio vinavyoniongoza..........!
 
We nawe Neylu vipi..!
Si umeona hapo tuliyamaliza nikiwa na wazee sasa unataka iendelee kivipi....?

Mkubwa una story tamu, nimeipenda nilidhani utasema ukamuoa, au ukamchukua mwanao, lkn yote nikuwa milima haikutani lkn watu watakutana tu, ulikimbia lkn ukajipeleka mwenyewe kwa kazi ile iliyokupa umaarufu kule Tabora.
 
Sijui ulikuwa na miaka mingapi? Nashindwa kukuita Fataki moja kwa moja.....

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom