Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

Hahaha huyo jamaaa nampa pongezi...safi sana wanawake ni kugegeda tuu apende asipende shauri yake
 
Mkuu mbona maswali yako yanampigia debe huyo bazazi???

JUST A CHOICE OF AN ANGLE TO DEFEND MY CLIENT...AHAHAHAA...MAANA NIMEPATA PICHA YA MAISHA YA MTU KUHARIBIKA KISA UDOMO ZEGE NA UKICHUKULIA VISHAWISHI VYA HAWA DADA ZETU....USIPOKULA ZIGO UNAISHIA KUITWA "SIO RIJALI AU RIZKI" UKILA MBOGA MOJA UNAISHIA KUITWA "WA BARA AKA MSHAMBA AU MPYA MJINI".....UNATAKIWA ULE MBOGA ZOTE UJISEVIE UONEKANE MJANJA...PIGA MITANDAO YOTE VODA NA PENDWA NDIO UHESHIMIWE MJINI.

SORRY KAMA NITAKUWA NAMUUMIZA MLETA MADA ILA NIMEJIBU KULINGANA NA HALI TULIYOFIKIA KAMA JAMII YETU KATIKA SUALA ZIMA LA MAHUSIANO....HAIEPUKIKI HII NA KAMA PINDA ALIVYOSEMA...UKIWA DOMO ZEGE LAZIMA UTABAKA TUU.
 
Wewe ulishafirwa mara ngapi vile? Tukumbushe
 
Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku, anaishi Tegeta, hivyo huwa nasimama Bamaga ananipitia hapo, siku ya get together alinipitia pia tukaenda wote.

Kwenye saa nne tukaanza kutawanyika, yule jamaa akadai nisubiri nisiwe na haraka atanifikisha hadi nyumbani, mwisho tukabaki watatu, jamaa yake mwingine, yeye na mimi, muda wote nilikua nakunywa non alcoholic drinks, mimi ni mnywaji wa pombe kwa muda mrefu, wine, savana etc, ila siku hiyo sikutaka kabisa kuonja pombe, jamaa akanibembeleza sana ninywe hata glass moja ya wine inatosha, nikakubali, cha kushangaza akaenda kuifuata yeye mwenyewe kaunta.Baada ya trip tatu hivi nikasikia usingizi mzito sana, nimekuja kushtuka saa saba mchana kesho yake, Tegeta nyumbani kwa yule jamaa, nikiwa na kizungu zungu, sina nguvu, malaria si malaria.

Kibaya zaidi nipo uchi kitandani, nikiwa nimechafuka, nilikua peke yangu, nikajiuliza glass moja ya wine inaweza kunifanya hivi? Nikavuta picha nikagundua kuna kitu nimefanyiwa, yule bwana akaingia na supu kwenye hotpot na kuniomba nioge ninywe supu, nikavaa nguo bila kuoga na nikakodi bajaj hadi nyumbani, sikupata nafuu kabisa, kichwa kilikua kinauma mno, nikalazwa hospital siku tatu ndipo nikapona, yule bwana kwa siku tatu zote alikua na mm hospital, wazazi wanaishi mkoa, mm nimepanga bamaga mwenge, nilikua na PF3 na report ya doctor, ambayo ilionesha wazi nilikua na kiwango kingi cha dawa za kulevya mwilini, na nimeingiliwa

Kuna maelezo mengi sana ila naomba nifupishe.

Kazini hawajui chochote kuhusu hili suala, nilihofia maneno ya watu, maana mimi na yule alienibaka tunafanya kazi pamoja ila yeye ni manager ni bosi, report zote ninazo na mpelelezi wa kesi ana copy pia, nilimuomba mpelelezi asubiri kwanza, kama aendelee au la, sababu ni kuwa, huyu jamaa ameniomba na kunibembeleza sana nisiendelee na kesi hiyo, kwamba nitamuharibia kazi na future yake, kwamba alinipenda siku nyingi na alishindwa tu kuniambia ndio maana alifanya vile, ili kuthibitisha hilo twende wote mkoani akafanye taratibu zote za ndoa tufunge ndoa.

Hata hivyo mimi nina mtu wangu wa miaka 3 sasa, ambae alishapeleka uchumba mwaka jana July, akadai bado anajipanga tumpe muda, yeye haishi Dar huwa anakuja kunitembelea na kuondoka na yeye hajui chochote kuhusu yaliyonipata.

Nipo njia panda nahitaji msaada wenu

Asanteni
Ofa zikizidi wewe mwanamke jiongezee utoe bure la sivyo utamegwa bila hiari,mwisho vya bure hakuna zama hizi,na hakuna u rafiki wa mbuz na fisi.
 
Mh!!! Pole dada yangu.....ukimshtaki mchumba wako hatasepa???

Ukimkubali utamwambia nini mchumba wako???

Je ni kweli anakupenda? au anakupoteza usije mfunga?

Je una moyo wa kumsamehe?

Au mwachie Mungu akulipie, usonge mbele na mchumba wako.

Mbona umeishia kumtwanga maswali wakat ameomba ushauri na hayo maswali ndo yapo kichwan kwake na hana majibu?
 
Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku, anaishi Tegeta, hivyo huwa nasimama Bamaga ananipitia hapo, siku ya get together alinipitia pia tukaenda wote.

Kwenye saa nne tukaanza kutawanyika, yule jamaa akadai nisubiri nisiwe na haraka atanifikisha hadi nyumbani, mwisho tukabaki watatu, jamaa yake mwingine, yeye na mimi, muda wote nilikua nakunywa non alcoholic drinks, mimi ni mnywaji wa pombe kwa muda mrefu, wine, savana etc, ila siku hiyo sikutaka kabisa kuonja pombe, jamaa akanibembeleza sana ninywe hata glass moja ya wine inatosha, nikakubali, cha kushangaza akaenda kuifuata yeye mwenyewe kaunta.Baada ya trip tatu hivi nikasikia usingizi mzito sana, nimekuja kushtuka saa saba mchana kesho yake, Tegeta nyumbani kwa yule jamaa, nikiwa na kizungu zungu, sina nguvu, malaria si malaria.

Kibaya zaidi nipo uchi kitandani, nikiwa nimechafuka, nilikua peke yangu, nikajiuliza glass moja ya wine inaweza kunifanya hivi? Nikavuta picha nikagundua kuna kitu nimefanyiwa, yule bwana akaingia na supu kwenye hotpot na kuniomba nioge ninywe supu, nikavaa nguo bila kuoga na nikakodi bajaj hadi nyumbani, sikupata nafuu kabisa, kichwa kilikua kinauma mno, nikalazwa hospital siku tatu ndipo nikapona, yule bwana kwa siku tatu zote alikua na mm hospital, wazazi wanaishi mkoa, mm nimepanga bamaga mwenge, nilikua na PF3 na report ya doctor, ambayo ilionesha wazi nilikua na kiwango kingi cha dawa za kulevya mwilini, na nimeingiliwa

Kuna maelezo mengi sana ila naomba nifupishe.

Kazini hawajui chochote kuhusu hili suala, nilihofia maneno ya watu, maana mimi na yule alienibaka tunafanya kazi pamoja ila yeye ni manager ni bosi, report zote ninazo na mpelelezi wa kesi ana copy pia, nilimuomba mpelelezi asubiri kwanza, kama aendelee au la, sababu ni kuwa, huyu jamaa ameniomba na kunibembeleza sana nisiendelee na kesi hiyo, kwamba nitamuharibia kazi na future yake, kwamba alinipenda siku nyingi na alishindwa tu kuniambia ndio maana alifanya vile, ili kuthibitisha hilo twende wote mkoani akafanye taratibu zote za ndoa tufunge ndoa.

Hata hivyo mimi nina mtu wangu wa miaka 3 sasa, ambae alishapeleka uchumba mwaka jana July, akadai bado anajipanga tumpe muda, yeye haishi Dar huwa anakuja kunitembelea na kuondoka na yeye hajui chochote kuhusu yaliyonipata.

Nipo njia panda nahitaji msaada wenu

Asanteni
Weee bogaaaz kwelii na hili unataka ushauri? embu tathmn utu wako ukishndwa kujitambua mwenyewe kunywa sumu ufee...
 
Mbakaji mwenyewe yupo humu humu anaingia Mara kwa Mara kujua ushauri utakaopewa.....
Kifupi ni hivi kama kweli hukupenda ulichofanyiwa endelea na kesi na kama ulipenda basi achana na kesi jilengeshe tena.....pili kuhusu kukubaliana kuolewa naye itakughalimu kwasababu huyo hakuwa na nia ya kukuoa ndiyo maana akakufanyia hivyo anachotafuta hapo ni kutoshitakiwa tu na si vingenevyo...Ila mie sikulazimishi lakini ukiolewa naye utajuta ndani ya mwaka mmoja kwasababu kama angekuwa na hiyo nia before angeshakwambia zamani sana. Mwisho usiache kupima vvu. Kila la kheri.
 
Hahaha.
Subiria hapo hapo, nikinaswa nitakuambia.
Ila mi ukinibaka ni bora uniue. Manake hata nikizinduka sikubakishi, la sivyo nikikusamehe nafyeka naniliu yako naisigina chini kwenye udogo kabisa. Hutakaa ubake tena!
huenda ikawa na wewe ni mpenda lifti subiri na wewe utakuja kutuhadithia hapa,nani kakwambia mjini kuna vya bure siku hizi,ndio nyie mnakunywa bia za watu bar alafu wakati wa kuondoka unaanza mbwembwe
 
Hahaha huyo jamaaa nampa pongezi...safi sana wanawake ni kugegeda tuu apende asipende shauri yake

We shabikia kishetani tu pindi watakapo anza kugegeda mkeo na binti zako ndo utajua ushatani wako unaghalimu kiasi gani.
 
Watu wana roho ngumu sana,unagegeda mtu aliye zima!
Sio wa kumuachia mochwari huyo jamaa..
 
Mbona umeishia kumtwanga maswali wakat ameomba ushauri na hayo maswali ndo yapo kichwan kwake na hana majibu?
Ilikuwa dodoso, niliporudi nikakuta nilichotaka kumwambia, ashaambiwa! So nikaona hamna haja ya kurudia! nika-like.
 
Pole sana...Iwe utamsamehe au la kamwe haiondoi ukweli kuwa huyo bwana sio mtu mzuri, na amekudhulumu kijinsia.

Ila nionavyo mpaka umefikia hatua ya kusitisha kesi basi zile hasira ulizokuwa nazo mwanzo zinaenda zikipungua plus bado hujawa tayari kwa matokeo ya kesi.

USHAURI WANGU....mimi sio mtaalamu wa sheria ila kama inawezekana kwa huyo bwana kupewa adhabu mbadala, yaani badala ya kufungwa alipe fidia kabambe itakayompa fundisho...then kama inawezekana pia uhame Dar ukatafute maisha yako kwingine.

Pia ukapime afya, kama upo salama umshukuru Mungu. Kuhusu mchumba sioni haja ya kumficha coz hilo ndio jaribio zuri kwake kama kweli anakupenda kutoka moyoni.

...Otherwise, jipe moyo endelea na maisha....hata Oprah alidhulumiwa kijinsia na bado yupo strong.
 
Huyu mwanaume mpumbavu kweli kweli, unaona raha gani kwenye mapenzi yasiyo na ushirikiano? Poor mbakaji.
 
Mwishoni mwa mwezi December baadhi ya wafanyakazi tulikubaliana weekend moja tukae pamoja kama party get together, tukachagua hotel moja tukaenda, tulikua kama 18 hivi, kila mtu alijigharamia mwenyewe kula na kunywa, kuna mkaka mmoja huwa napanda sana lift yake kwenda kazini karibu kila siku, anaishi Tegeta, hivyo huwa nasimama Bamaga ananipitia hapo, siku ya get together alinipitia pia tukaenda wote.

Kwenye saa nne tukaanza kutawanyika, yule jamaa akadai nisubiri nisiwe na haraka atanifikisha hadi nyumbani, mwisho tukabaki watatu, jamaa yake mwingine, yeye na mimi, muda wote nilikua nakunywa non alcoholic drinks, mimi ni mnywaji wa pombe kwa muda mrefu, wine, savana etc, ila siku hiyo sikutaka kabisa kuonja pombe, jamaa akanibembeleza sana ninywe hata glass moja ya wine inatosha, nikakubali, cha kushangaza akaenda kuifuata yeye mwenyewe kaunta.Baada ya trip tatu hivi nikasikia usingizi mzito sana, nimekuja kushtuka saa saba mchana kesho yake, Tegeta nyumbani kwa yule jamaa, nikiwa na kizungu zungu, sina nguvu, malaria si malaria.

Kibaya zaidi nipo uchi kitandani, nikiwa nimechafuka, nilikua peke yangu, nikajiuliza glass moja ya wine inaweza kunifanya hivi? Nikavuta picha nikagundua kuna kitu nimefanyiwa, yule bwana akaingia na supu kwenye hotpot na kuniomba nioge ninywe supu, nikavaa nguo bila kuoga na nikakodi bajaj hadi nyumbani, sikupata nafuu kabisa, kichwa kilikua kinauma mno, nikalazwa hospital siku tatu ndipo nikapona, yule bwana kwa siku tatu zote alikua na mm hospital, wazazi wanaishi mkoa, mm nimepanga bamaga mwenge, nilikua na PF3 na report ya doctor, ambayo ilionesha wazi nilikua na kiwango kingi cha dawa za kulevya mwilini, na nimeingiliwa

Kuna maelezo mengi sana ila naomba nifupishe.

Kazini hawajui chochote kuhusu hili suala, nilihofia maneno ya watu, maana mimi na yule alienibaka tunafanya kazi pamoja ila yeye ni manager ni bosi, report zote ninazo na mpelelezi wa kesi ana copy pia, nilimuomba mpelelezi asubiri kwanza, kama aendelee au la, sababu ni kuwa, huyu jamaa ameniomba na kunibembeleza sana nisiendelee na kesi hiyo, kwamba nitamuharibia kazi na future yake, kwamba alinipenda siku nyingi na alishindwa tu kuniambia ndio maana alifanya vile, ili kuthibitisha hilo twende wote mkoani akafanye taratibu zote za ndoa tufunge ndoa.

Hata hivyo mimi nina mtu wangu wa miaka 3 sasa, ambae alishapeleka uchumba mwaka jana July, akadai bado anajipanga tumpe muda, yeye haishi Dar huwa anakuja kunitembelea na kuondoka na yeye hajui chochote kuhusu yaliyonipata.

Nipo njia panda nahitaji msaada wenu

Asanteni
kama hajakuambukiza maradhi au chochiote kile mwambie akulipe fidia kubwa ndipo umsamehe unajua wanaume wengi hayajuagi kutongoza yapo mengi hasa wakutoka ...................
 
Back
Top Bottom