Kanisani

Kanisani

Idd hashim

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
79
Reaction score
17
Mchungaji mmoja alikuwa akihubiri kanisani kama ifuatavyo!Mchungaji: mungu yu mwema mgeukie mwenzako na mwambie na umwambie mungu yu mwema!Waumini: (waligeukiana na kuambia hvyo)!Mchungaji: leo nitawaombea kupitia bwana yesu wote wasioshika mimba na watapata mimba, mgeukie mwenzio na umwambie leo utapata mimba! Aleluya!Mara likasikika bonge la kofi viti vya nyuma, kumbe dogo alikaa na baba na akamwambia leo utapata mimba!
 
kwel aisee
 
Back
Top Bottom