Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,838
- 50,542
- Thread starter
-
- #41
Ushawahi kuhudhuria ama unaleta nadharia tu. Maombi huwa ya kuombea nchi sasa kama ni nchi kwa nini wengine hawaalikwi ama wao si sehemu ya nchi?Maombi hulenga mtu sio chama mungu hatambui vyama viwe chadema au CCm ukiombea amani unaombea wasimamizi wa amani walioko madarakani kwa kuwataja kwa majina au vyeo ambao kazi yao masaa 24 ni kusimamia amani yaani unaombea amiri jeshi mkuu na wote wahusikao na kazi ya kusimamia amani wakiwemo polisi na majeshi yote ya ulinzi na usalama huhangaiki na bavicha au bawacha
Anamangamanga huyo. Mara viongozi wa mivyeo minene mara sijui ninini! Umewashtukiza swali. Kuanzia kesho baada ya kugezana majibu watakuja.Hapa huombewa nchi si viongozi wa nchi! Kuombea amani si kwa ajili ya viongozi bali ni kwa ajili ya nchi ya Tanzania.
Yesu alisulubishwa na wapinzani ama na waliokuwa madarakani? Na wakati anasulubishwa amani ilikuwepo ama haikuwepo?Kitu cha kwanza kabisa kanisa linachotaka ni amani ambayo itawezesha neno/injili kuwafikia watu wengi sana, mambo mengine ni personal perceptions.
Zaidi kama kuna tatizo kanisa hufanya kazi ya maombi ya usiku na mchana.
"the highest risk should give maximum profit"
Sasa ungejuaje ni ujinga angeuficha? Na akiuficha itamsaidia nini? Angalau ametoa ujinga wake wewe uliye mwerevu kuliko yeye, umetambua kuwa ni ujinga. Sasa umwelimishe kwa sababu mjinga anaelimika kirahisi tu.Ebu ficha ujinga wako hata kidogo itakusaidia.
Kanisa halina Chama bali Waumini wa Makanisa mbali mbali ndiyo ni Wanachama wa hivyo Vyama hata kwa vile Vyama ambavyo ni kama vina mrengo wa Kiitigadi au Dini fulani bado Wanachama wao ni wa dini na madhehebu mbali mbali.Kwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.
Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?
Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?
Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale tu CCM inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani.
Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
Sema huelewi siyo sieleweki. Unapotaka kusema jambo fulani lipo hivi siku zote unaangalia wingi. Nimehesabu matamasha na hiyo mikesha na kuhitimisha kwamba Kanisa linaipendelea CCM. hayo madhehebu yaliyokuwa yanaunga mkono upinzani wazi wazi ni yapi hayo?Kwa mujibu wa mada iliyo ubaoni, Neno "Kanisa" lina tafsiri pana kuliko ulivyoamanisha. Itoshe tu turejee kwenye tafsiri yako ni kwamba kuna Madhehebu ya Kikristo ambayo kwenye uchanguzi wa 2015, yalikuwa kinyume na CCM wazi wazi. Sasa ukisema KANISA ni la CCM haueleweki.
Mm sio mccm wala cdm, nakusihi usipotoshe maandiko nduguTunaongelea wanaongoza nchi sio lower ranks hao ni wa chini maombi yanayowahusu ni ya Kibinafsi tu
Mkuu wote wanahitaji maombi, mwizi anahitaji maombi ili Mungu ambadilishe asiwe mwizi tena. Na mtakatifu anahitaji maombi ili asirudi tena kwenye uovu.sasa kwa mujibu wa dini nani anatakiwa kuombewa zaidi kati ya mwizi na mtakatifu?
Ila kazi yao ya sasa ni upiga debe wa siasa za CCMKazi ya kanisa sio siasa ni dini
Kama ulifuatalia kwa karibu misimamo ya Madhehebu ya Kikristo wakati wa kampeni 2015, uliweza kuona.Sema huelewi siyo sieleweki. Unapotaka kusema jambo fulani lipo hivi siku zote unaangalia wingi. Nimehesabu matamasha na hiyo mikesha na kuhitimisha kwamba Kanisa linaipendelea CCM. hayo madhehebu yaliyokuwa yanaunga mkono upinzani wazi wazi ni yapi hayo?
Wanaoongoza nchi ni kuanzia mjumbe wa nyumba kumi hadi raisi. Wote wanatakiwa kuombewa.Tunaongelea wanaongoza nchi sio lower ranks hao ni wa chini maombi yanayowahusu ni ya Kibinafsi tu
Nani wa kuchagua majizi chadema ??
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kwani Wewe mwenzangu upo Chumba Cha Maiti?(CCM) au nyumba kumi mapumzikoniKwa comment jiyo, Wewe utakuwa mgonjwa si bure. Pole sana.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app