Ardhi wanapewa wajenge shule hospital na makanisa. Wanaisaidia serikali kutibu kusomesha na kufundisha maadili mema bila kujali imani ya mtu. Wewe ukipewa ardhi ni yako na hawara yako tu haisaidii watu wengi kanisa likipewa ardhi likijenga hospital au shule au chuo kinasaidia watu wengi ikiwemo hata watoto wa hawara au nyumba ndogo ya kike au kiume. Wakipewa wanaisaidia serikali kusaidia wananchi wake pale ambapo haiwezi Kutokana Na ufinyu wa bajetiHili la Kanisa kugawiwa Ardhi si sahihi!
Biblia imeagiza maombi yafanyike kwanza kwa walio kwenye utawala kama huko kwenye utawala maombi unayotakiwa kufanyiwa ni ya Kibinafsi kama unaharisha unaomba uombewe au una kipindupindu unahitaji maombi Kibinafsi lakini Ya kitawala wanaombewa Wale walioko madarakani viongozi wakuu wa nchi sio kiongozi wa katawi ka bavicha wanaombewa watawala wa nchi nzima sio vyama. Ukiomba Ya vyama hayafiki mbali ndio maana akina gwajima Na kakobe waliombea ukawa ushinde na haukushindaSiasa ni pale unapofanya maombi ya kuombea amani na kundi moja tu la wanasiasa!
Dah! Yaani kumbe nyie hata hamjui mambo yakoje. Kanisa kama taasisi hununua Ardhi wala haipewi ardhi na serikali. Halafu kutibia ni kutokana na Serikali kuongozwa na CCM ambayo huwa haiwazi kujenga Hospitali zake yenyewe badala yake hutegemea Hospitali zilizojengwa na kanisa Kitambo.Ardhi wanapewa wajenge shule hospital na makanisa.
Hili la ardhi si sahihi wakati wote makanisa ama yanakodishwa au kuuziwa kihalaliWanalipa fadhila si unaona makanisa yalivyogawiwa ardhi kubwa
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Vyama vya upinzani ni sehemu ya utawala, elewa hilo, wana wabunge, madiwani, mameya, viongozi wa mitaaBiblia imeagiza maombi yafanyike kwanza kwa walio kwenye utawala kama huko kwenye utawala maombi unayotakiwa kufanyiwa ni ya Kibinafsi kama unaharisha unaomba uombewe au una kipindupindu unahitaji maombi Kibinafsi lakini Ya kitawala wanaombewa Wale walioko madarakani viongozi wakuu wa nchi sio kiongozi wa katawi ka bavicha wanaombewa watawala wa nchi nzima sio vyama. Ukiomba Ya vyama hayafiki mbali ndio maana akina gwajima Na kakobe waliombea ukawa ushinde na haukushinda
Mgawo wa TEGETA ESCROW ACCOUNT UNATOA MAJIBU KWA UZI HUU, KWANI HAKUKUWA na MPINZANI ALIYEPATA TOFAUTI NA KANISA +CCM!!Dah! Yaani kumbe nyie hata hamjui mambo yakoje. Kanisa kama taasisi hununua Ardhi wala haipewi ardhi na serikali. Halafu kutibia ni kutokana na Serikali kuongozwa na CCM ambayo huwa haiwazi kujenga Hospitali zake yenyewe badala yake hutegemea Hospitali zilizojengwa na kanisa Kitambo.
Watawala alioongolea Paulo mtume ni walioko mamlaka za juu sio viongozi wa bawacha au bavicha. Mfano hata idd amini alitakiwa aombewe Kama head of State. Walio lower rank wanatakiwa kuombewa Kibinafsi kwa matatizo yao binafsi wanayokutana nayo iwe kwenye kazi zao za bavicha au bawacha nk lakini baada Ya wao kuwakilisha uhitaji wa kuombewa KibinafsiVyama vya upinzani ni sehemu ya utawala, elewa hilo, wana wabunge, madiwani, mameya, viongozi wa mitaa
Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
Tunaongelea wanaongoza nchi sio lower ranks hao ni wa chini maombi yanayowahusu ni ya Kibinafsi tuVyama vya upinzani ni sehemu ya utawala, elewa hilo, wana wabunge, madiwani, mameya, viongozi wa mitaa
Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
Nani wa kuchagua majizi chadema ??
Kanisa la kweli lenye hofu ya Mungu linatakiwa likemee viongozi waovu kwa nguvu zote.Kazi ya kanisa sio siasa ni dini
Hapa huombewa nchi si viongozi wa nchi! Kuombea amani si kwa ajili ya viongozi bali ni kwa ajili ya nchi ya Tanzania.Tunaongelea wanaongoza nchi sio lower ranks hao ni wa chini maombi yanayowahusu ni ya Kibinafsi tu
Do not portray your stupidity in public.Nani wa kuchagua majizi chadema ??
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi mkuu, yaani maaskofu sasa hivi kimya wanakula bata, subiri aingie wa upande wa pili nyaraka zinaanza,wachungaji na maaskofu ni wanafiki.Tanzania hakuna Kanisa la Kristo, kuna Kanisa la CCM. Kuna Mungu wa CCM, Kuna viongozi wa Kanisa la CCM
Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
Kazi ya kanisa sio siasa ni dini
Maombi hulenga mtu sio chama mungu hatambui vyama viwe chadema au CCm ukiombea amani unaombea wasimamizi wa amani walioko madarakani kwa kuwataja kwa majina au vyeo ambao kazi yao masaa 24 ni kusimamia amani yaani unaombea amiri jeshi mkuu na wote wahusikao na kazi ya kusimamia amani wakiwemo polisi na majeshi yote ya ulinzi na usalama huhangaiki na bavicha au bawachaHapa huombewa nchi si viongozi wa nchi! Kuombea amani si kwa ajili ya viongozi bali ni kwa ajili ya nchi ya Tanzania.