Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,808
- 50,456
Kazi ya kanisa sio siasa ni diniKwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.
Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?
Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?
Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale CCM tu inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani. Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
Sasa kwa nini linafanya siasa?Kazi ya kanisa sio siasa ni dini
Hapa ujinga upo wapi. Na nyie tangu mfundishwe kutukana na yule anayeona kila anayempinga ni Mpumbavu basi ndiyo imekuwa shida!Ebu ficha ujinga wako hata kidogo itakusaidia.
Kwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.
Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?
Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?
Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale CCM tu inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani. Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
Hili la Kanisa kugawiwa Ardhi si sahihi!Wanalipa fadhila si unaona makanisa yalivyogawiwa ardhi kubwa
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Mkuu Padri au shekhe Awatakiwi kujiusisha na vyama vya upinzani kufanya ivyo ni kuatarisha amani ya nchi kwaiyo wao wadili na ccm tu kuiyombea amani mpaka2020Kwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.
Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?
Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?
Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale CCM tu inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani. Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
sasa kwa mujibu wa dini nani anatakiwa kuombewa zaidi kati ya mwizi na mtakatifu?Nani wa kuchagua majizi chadema ??
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kwa mtazamo wako nchi ni "wakuu" wa nchi. Kwa ivo hayo maombi huwa ni dhidi ya nani?Wanaombea nchi, hawaombei vyama. Wanaalika wakuu wa nchi, hawaaliki wakuu wa vyama vya siasa.
Sent from my SM-A800I using JamiiForums mobile app
Siasa zipi maombi sio siasa.Sasa kwa nini linafanya siasa?
Siasa ni pale unapofanya maombi ya kuombea amani na kundi moja tu la wanasiasa!Siasa zipi maombi sio siasa.
Implementation orders from RomeKwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.
Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?
Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?
Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale tu CCM inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani.
Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?