Kanisa Tanzania ni CCM?

Kanisa Tanzania ni CCM?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,169
Reaction score
48,451
Kwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.

Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?

Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?

Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale tu CCM inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani.

Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
 
Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale CCM tu inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani. Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
Kazi ya kanisa sio siasa ni dini
 
Nani wa kuchagua majizi chadema ??

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania hakuna Kanisa la Kristo, kuna Kanisa la CCM. Kuna Mungu wa CCM, Kuna viongozi wa Kanisa la CCM

Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.

Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?

Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?

Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale CCM tu inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani. Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
Mkuu Padri au shekhe Awatakiwi kujiusisha na vyama vya upinzani kufanya ivyo ni kuatarisha amani ya nchi kwaiyo wao wadili na ccm tu kuiyombea amani mpaka2020

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wanaombea nchi, hawaombei vyama. Wanaalika wakuu wa nchi, hawaaliki wakuu wa vyama vya siasa.

Sent from my SM-A800I using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtazamo wako nchi ni "wakuu" wa nchi. Kwa ivo hayo maombi huwa ni dhidi ya nani?
 
Hii nchi ambayo ina amani na utulivu, inaombewa kwa lipi? Mtoa uzi kasema ukweli, na kama kuna kiongozi wa dini ambaye amefanya ibada kwa ajili ya kuliombea taifa ambalo tayari lina amani, kiingozi huyo labda anajipendekeza, na Mungu anawachukia wanafiki. Ni ukweli kanisa limeegemea upande mmoja japokuwa wapo viongozi wachache wa kanisa ambao wanapinga dhuruma inayofanyika nchini. Viongozi ambao wanauona uzi huu wajibu. Imani na siasa haviwezi kutenganishwa kwa kuwa vyote vimo moyoni mwa muumini. Na tuna waumini wa itikadi zote za siasa. Kwa nini viingizi wa wakanisa wamekuwa wabaguzi. Kisha wakati wa kampeni, wengine tunawaona wanawafuata viongozi wa vyama vingine usiku usiku kutoa support yao, kama Nicodemo mwanafunzi wa Yesu....

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi sijui

Sent from Iphone price 5Mil using JF nchi za nje.
 
Kwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.

Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?

Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?

Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale tu CCM inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani.

Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
Implementation orders from Rome
 
Back
Top Bottom