Kanisa lateketea kwa moto TUNDUMA

Status
Not open for further replies.
Mkongwe kama wewe unakuja na hoja dhaifu kama hii.
lazima ikubutue mkuu

tangu nizaliwe, sijawahi kuona serikali dhaifu kama hii inayoshindwa kulinda hata amani ya RPC wake, let alone nyumba za ibada zaidi ya 30 kuchomwa ndani ya utawala mmoja, raia kuuwawa napolisi nk

chanzo??? top leadership.... who's there???

You got it bad this time buddy.... it is the painful truth and history will judge this leadership appropriately

can you imagine watu wanadunguliwa kutwa kucha jamaa wanaruka kama mbayuwayu??

that sucks!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom