tuombee iwe shoti ya umeme, maana Tunduma waislam ni wachache mno
Tunduma kuna waislam kweli?
Kuna tetesi kua kuna kanisa limengua moto huko TUNDUMA mwenye taarifa zaid aendelee ku2juza nawasilisha
Kama hii ni kweli basi tujiandae kwa mengi maana wakristo hawawezi endelea kuona makanisa yao yakichomwa kwa chuki za kidini ndio hayo walio yahubiri kwenye uchanguzi leo hii ni janga kwa taifa na kwa watu wasio na hatia. waislam eleweni makani/ wakristo sio adui kwenu bali serikali ndio iliyoleta haya machafuko
tuombee iwe shoti ya umeme, maana Tunduma waislam ni wachache mno
Sasa hivi ukitaka uzi wako uchangiwe sana wewe njoo na JF fungua uzi wa kanisa kuchomwa.
wanaochoma si waislamu bali wapumbavu wanaotumia uislamu
hata wakiwa wawili wanaweza maana [upumbavu hauna ujazo