Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
"choices "
Zipo choice,lakini sio km hizo ambazo ni chukizo kwa MUNGU.
"choices "
Zipo choice,lakini sio km hizo ambazo ni chukizo kwa MUNGU.
Its depend tunaabudu the sama God?
Mdada inaonelana 'screen touch' hujazoea
kwa mujibu wa Askofu wetu, kila mtu ana akili na aachwe ajiamulie mambo yake. Tusipeane miongozo, misimamo ya kanisa.
Kusema msimamo wa Kanisa ni kuingilia Uhuru wa watu.
...kwa mujibu wa Askofu wetu.
Its depend tunaabudu the sama God?
Eeeh!,wewe unamwabudu MUNGU yupi huyo anayependelea tabia hiyo?.
Unataka kufiata au?
Sijakuelewa! unamaanisha nini?.
Unataka kuifuata ?????