Kanisa laidhinisha ndoa za jinsia moja

Kanisa laidhinisha ndoa za jinsia moja

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
Kanisa laidhinisha ndoa za jinsia moja.

attachment.php


attachment.php


Kanisa la Presbyterian nchini Marekani ambalo lina takriban wanachama millioni 2 ,limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja.
 

Attachments

  • usenge.jpg
    usenge.jpg
    36.1 KB · Views: 2,340
  • mashoga.jpg
    mashoga.jpg
    33.1 KB · Views: 2,223
na Mungu wao pia ni Mungu wa tofauti na huyu unayemjua
Mimi ndio maana siku zote ninawaita Wazungu ni Mashtani hawaamini dini wao wanavyotaka ndivyo wanavyofanya wao wenyewe tofauti na sisi Watu weusi tunaamini Mungu na dini zetu wamelaanika wazungu Mashetani weupe.
 
kwa mujibu wa Askofu wetu, kila mtu ana akili na aachwe ajiamulie mambo yake. Tusipeane miongozo, misimamo ya kanisa.
Kusema msimamo wa Kanisa ni kuingilia Uhuru wa watu.
...kwa mujibu wa Askofu wetu.
 
Mimi ndio maana siku zote ninawaita Wazungu ni Mashtani hawaamini dini wao wanavyotaka ndivyo wanavyofanya wao wenyewe tofauti na sisi Watu weusi tunaamini Mungu na dini zetu wamelaanika wazungu Mashetani weupe.
MziziMkavu naskia umegundua dawa ya HIV ya kienyeji hebu nidokezee basi??
 
Last edited by a moderator:
Mashetani kwa sababu ni waawazi ! Ushoga upo duniani kote ! Iwe Uarabuni,China au Afrika ....tofauti pekee ni uwazi
Mimi ndio maana siku zote ninawaita Wazungu ni Mashtani hawaamini dini wao wanavyotaka ndivyo wanavyofanya wao wenyewe tofauti na sisi Watu weusi tunaamini Mungu na dini zetu wamelaanika wazungu Mashetani weupe.
 
Sasa kama ikiwa ni ya nchi ndo iingie hadi kanisani???,jamani serikali ikitunga sheria si lazima ifuatwe na kanisa hasa km inakiuka maadili.
Kwa wenzetu Wazungu ukiona kitu kinapasishwa Makanisani mpaka Serikalini wanakubali. serikali haiwezi kupinga amri ya kanisa Tofauti na sisi Waafrika tuna sheria zetu na Kanisa kuna sheria zake.Mkuu CHAULA RICH
 
Last edited by a moderator:
Kwa wenzetu Wazungu ukiona kitu kinapasishwa Makanisani mpaka Serikalini wanakubali. serikali haiwezi kupinga amri ya kanisa Tofauti na sisi Waafrika tuna sheria zetu na Kanisa kuna sheria zake.Mkuu CHAULA RICH

Kwa maelezo hayo maana yake ni kwamba sheria hiyo imeanzia kanisani halafu ikaenda serikalini,sivyo mkuu?,maana umesema sheria ikishapasishwa kanisani serikali haipingi!.
 
Back
Top Bottom