Kanisa lachomwa moto,nyamongo.tarime.

Kanisa lachomwa moto,nyamongo.tarime.

Tena msiogope, malipo yao ni hapa hapa.
msichangae siku mkakuta wote waliochoma huo moto
wamelala chali kama kuku wa kideri.
 
hii haitofanywa issue kwa kuwa waliochoma ni....

lakini kule zanzibar aaaah, watu kwa chuki we acha
 
Full gospel???? sasa hili ni kanisa au ukumbi wa disko? dini zingine bwana za kishe....... hakuna mbaya sababu waloilichma ni walewale, wacha wafu wazike wafu wao.
 
Ni kanisa la full gospel bible felowship{FGBF-CHURCH} ni jaribio lakuchoma moto jengo la ibada,ambalo limeshindwa kwa mara ya tatu sasa.mara ya kwanza ilikuwa mwanzoni mwa april 2012,mara ya pili ilikuwa may 26-2012,mara ya tatu ilikuwa may 29-2012 matukio yote yakifanyika usiku.inadaiwa mtu anatumwa na wasabato.sababu eti mafundisho ya kanisa hilo yanapotosha kwakufundisha kinyume na usabato,na maombezi ya miujiza inayofanyika kanisani hapo.tunashukuru kwa Mungu wa miujiza amezidi kuuzima moto kila walipouwasha.
Habari zaidi wasiliana na : pastorngumba@live.co.uk
au 0756847424

au uliza police nyamongo. Samahani nimeshindwa kuingiza picha.
kwa kutoa email na namba ya simu nahisi kama unataka kuri-promote hilo kanisa kwa kujipatia followers toka JF.nothing new just busness as usual.:madgrin:
 
Tafuta ukweli wa wahusika halisi wachomaji wa makanisa. Wakristo hupishana kwa itikadi zao na si kuchomeana nyumba za ibada. Ninavyowafaham wasabato kwa ujumla wao hawako hivyo. Labda kama ni ule mchezo mchafu wa kuchafuana na kuwaharibia. Waachiwe Police wafanye uchunguzi wao. Pole kwa madhara yaliyojitokeza. Tunawaombea Mungu awe nanyi. Poleni sana.
 
Ni kanisa la full gospel bible felowship{FGBF-CHURCH} ni jaribio lakuchoma moto jengo la ibada,ambalo limeshindwa kwa mara ya tatu sasa.mara ya kwanza ilikuwa mwanzoni mwa april 2012,mara ya pili ilikuwa may 26-2012,mara ya tatu ilikuwa may 29-2012 matukio yote yakifanyika usiku.inadaiwa mtu anatumwa na wasabato.sababu eti mafundisho ya kanisa hilo yanapotosha kwakufundisha kinyume na usabato,na maombezi ya miujiza inayofanyika kanisani hapo.tunashukuru kwa Mungu wa miujiza amezidi kuuzima moto kila walipouwasha.
Habari zaidi wasiliana na : pastorngumba@live.co.uk
au 0756847424
au uliza police nyamongo. Samahani nimeshindwa kuingiza picha.

Poleni pastor na matatizo,vipi mtumishi wa mungu kakobe analikua hili? Siku hizi yuko wapi? Tunamuomba alikemee hili pepo maana limeitafuna znz!!
 
Full gospel???? sasa hili ni kanisa au ukumbi wa disko? dini zingine bwana za kishe....... hakuna mbaya sababu waloilichma ni walewale, wacha wafu wazike wafu wao.

Kweli JF imejaa ma-great thinker. heb tuambie kanisa la kweli ni lipi?:majani7:
 
Ni kanisa la full gospel bible felowship{FGBF-CHURCH} ni jaribio lakuchoma moto jengo la ibada,ambalo limeshindwa kwa mara ya tatu sasa.mara ya kwanza ilikuwa mwanzoni mwa april 2012,mara ya pili ilikuwa may 26-2012,mara ya tatu ilikuwa may 29-2012 matukio yote yakifanyika usiku.inadaiwa mtu anatumwa na wasabato.sababu eti mafundisho ya kanisa hilo yanapotosha kwakufundisha kinyume na usabato,na maombezi ya miujiza inayofanyika kanisani hapo.tunashukuru kwa Mungu wa miujiza amezidi kuuzima moto kila walipouwasha.
Habari zaidi wasiliana na : pastorngumba@live.co.uk
au 0756847424
au uliza police nyamongo. Samahani nimeshindwa kuingiza picha.

Hivi kumbe kuna makanisa yanatofautiana katika mafundisho?
 
Kama wao wanaona wenzio hawafundishi vizuri njia ni kuwafundisha na kuwashawishi hao waumini wao wahamie kwenu c kuchoma kanisa la wenzeni ninyi wasabatao saa nyingine huwa mnajifanya munajua Mungu huku munaongoza kwa uzinzi na uchawi.
 
Confused! Other people again! Tunachotafuta ninini?
 
Full gospel???? sasa hili ni kanisa au ukumbi wa disko? dini zingine bwana za kishe....... hakuna mbaya sababu waloilichma ni walewale, wacha wafu wazike wafu wao.

Yaonyesha una matatizo ya akili ndugu yangu, nani aliyekwambia kuwa FULL GOSPEL ni ukumbi wa Disco.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
C,mon what is all this? Kumbe ka syndrome kashavuka bahari eh?
 
Hii habari imekaa mkao wa shaka shaka! Iweje mara zote tatu lisiungue? Ina maana wanajaribu kulichoma kwa kutumia matambala badala ya petroli? ninavyowajua tarime, kuchoma kanisa si suala la kujaribu mara tatu bila mafanikio! Labda hao wanaojaribu ni Uamsho wasio na mafunzo ya kina.
 
Aaaaah! Siku za mwisho hizi!
Nyie chapeni Injili ya kweli na ya Toba,yeye Yesu humpigania aliye mja wake

Sent from Siemens C25 using Jamiiforum
 
Ni kanisa la full gospel bible felowship{FGBF-CHURCH} ni jaribio lakuchoma moto jengo la ibada,ambalo limeshindwa kwa mara ya tatu sasa.mara ya kwanza ilikuwa mwanzoni mwa april 2012,mara ya pili ilikuwa may 26-2012,mara ya tatu ilikuwa may 29-2012 matukio yote yakifanyika usiku.inadaiwa mtu anatumwa na wasabato.sababu eti mafundisho ya kanisa hilo yanapotosha kwakufundisha kinyume na usabato,na maombezi ya miujiza inayofanyika kanisani hapo.tunashukuru kwa Mungu wa miujiza amezidi kuuzima moto kila walipouwasha.
Habari zaidi wasiliana na : pastorngumba@live.co.uk
au 0756847424
au uliza police nyamongo. Samahani nimeshindwa kuingiza picha.

Hao waliochoma watakua wakristo wenye msimamo mkali,
 
Back
Top Bottom