Kanisa lachomwa moto,nyamongo.tarime.

ni kanisa la full gospel bible felowship{fgbf-church} ni jaribio lakuchoma moto jengo la ibada,ambalo limeshindwa kwa mara ya tatu sasa.mara ya kwanza ilikuwa mwanzoni mwa april 2012,mara ya pili ilikuwa may 26-2012,mara ya tatu ilikuwa may 29-2012 matukio yote yakifanyika usiku.inadaiwa mtu anatumwa na wasabato.sababu eti mafundisho ya kanisa hilo yanapotosha kwakufundisha kinyume na usabato,na maombezi ya miujiza inayofanyika kanisani hapo.tunashukuru kwa mungu wa miujiza amezidi kuuzima moto kila walipouwasha.
Habari zaidi wasiliana na : pastorngumba@live.co.uk
au 0756847424
au uliza police nyamongo. Samahani nimeshindwa kuingiza picha.


hawakusahau maaskofu ile nyimbo yao , wanaochoma makanisa ni uamsho
 
Najua pale karibu kabisa na mgodi kuna kanisa la wasabato na wanyamongo wengi ni wasabato. Hii inawezekana lakini ya nini kuchoma tena makanisa?
 
na tusipokuwa makini tutavurugwa kwa mwamvuli wa dini mpaka tukome.
 
Kwa nini hakuzuia lisichomwe in the first place, anasubiri wachome ndio azime, yeye zima moto? Na mbona hakuzuia ya Zanzibar yasichomwe?

Ndugu yangu lipokuja suala la imani tuwe makini na maneno yetu.kwa maneno uliyoyatoa hapa dah inawezekana una uumini wa kipekee.
 
Back
Top Bottom