Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,471
- 2,674
na hao watatu ni umoja.....kila mtu yu ndani ya mwingneTeh teh teh.
Mungu wakiwa watatu mmoja akiamua mvua inyeshe mwingine akasema hapana nataka jua kali Nani ataweza kufanya alitaka?
Amkeni kabla hamjafa
Ukafiri Una adhabu kubwa mno
au hayupo
