njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,108
Mungu je ushawahi kumuona kwa macho yako?Mbona sijamuona shetani hapo,au macho yangu?
Huko Kanisani huwa unamuona YESU?Mbona sijamuona shetani hapo,au macho yangu?
Kwenye ile post yangu ya face to face with a devil nilieleza kuwa nilishawahi kusali kwenye kanisa la namna hii kuna member akasema ni story ya kufikirikaMh!!! Sasa sio siri tena!!![emoji30] [emoji31]
cc: Mshana Jr.
How is this a church? Jesus Christ is the head of the church and not satan, so you can't call this as a church. Find another name!