Kanisa la shetani!!!

Dunia imekwisha!Tutafika kweli?,wanadamu tutubu,tumrudie mungu wetu wa kweli,maana yeye ni mwenye huruma na upendo; daima na milele.
 
fuatilia link hii hapa kuna maelezo muhimu sana; nimeshindwa ku cnp- protected!!
 
Ingawa siziamini hizi dini za wazungu na waarabu, hii dini ya shetani ni balaa tupu! Nimeisoma hiyo bible yao, imenisaidia kunifanya nimtafute Mungu wa kweli maana kumbe kweli shetani na dini yake ni balaa! Haya maneno niliyoyakuta kwenye ukurasa wa 47 wa bible yao yameniacha hoi kabisa!

The use of a human sacrifice in a Satanic ritual does not imply that the sacrifice is
slaughtered "to appease the gods". Symbolically, the victim is destroyed through
the working of a hex or curse, which in turn leads to the physical, mental or
emotional destruction of the "sacrifice" in ways and means not attributable to the
magician.
The only time a Satanist would perform a human sacrifice would be if it were to
serve a twofold purpose; that being to release the magician's wrath in the
throwing of a curse, and more important, to dispose of a totally obnoxious and
deserving individual.
 
Yesu kristo alisema haya yatatokea. "tazameni nimewaonya mbele" ukijiunga nalo {kanisa la shetani} ujue imekula kwako, huna la kujijitetea siku ile kuu ikifika, kumbuka ikaribu sana kuliko unavyofikiri.

Ushauri wa bure kimbilia kwa yesu uwe salama, na watu wote wamtumainio bwana na mwokozi wetu yesu kristo waseme amina
 
Back
Top Bottom