sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 558
- 1,919
Kanisa la Sabato limekuwa na fundisho kutoka kitabu cha ufunuo likieleza nyakati hizi zamwisho kuwa makanisa yote yataungana na serikali kutangaza amri ya Jumapili, na hata leo hii akionekana papa anaongea na Raisi wa Marekani basi sabato ijayo ndio itakuwa ajenda kubwa kuwa mambo yanaelekea mwisho wa dunia. Au aonekane Raisi akiwa na mazungumzo na wakatoliki basi inaonekana kuna jambo linakuja.
Why miaka hii kanisa la Sabato hasa Tanzania linashikama sana na serikali kuliko hata wakatoliki ? Ina maana wachungaji wanaaminisha waumini vitu ambavyo wao hawavishiki?
Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kukuta viongozi wa sabato wakichangamana na viongozi wa dini zingine na hata serikali.Lakini miaka ya hivi karibu umeibuka mtindo wa viongozi wa sabato kuunga mkono serikali tena kwa vitisho na kwa wazi kabisa.
Tukio la J kikwete kwenda kuyaongea hayo tena huko kanisa la sabato charya kamageta mimi naliangalia kwa jicho ni tukio la kupanga la viongozi wa sabato maana kuna uhakika walijua tamko la TEC litatoka..Na kwasasa hakuna kanisa Lina chawa wengi kama sabato na wengine ni high rank kabisa hata wachungaji wapo na mmoja wa kiongozi mkubwa wa sabato wa muda mrefu inasememwa kwa muda mrefu ni mzee wa kaunda suti.
Sabato ijitathimini kama ina viongozi sahihi au machawa ndio wengi.