Si vibaya ndugu wakisali pamoja.Kila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza
Jiongezee kipato kuingia JF na kumuandika kijana aliyefanikiwa ki wivu wivu wa kisichana haiongezi pato lako ,pambana na yako haujafika badoKila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza
Yanaingiliwa vizuri sana
Tupia kapicha mkuu ili inogeKila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza
Kila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza
Tena kashatumia hela nyingi sana kutoka mfukoni kulifikisha kanisa lake pale lilipo ukizingatia ni jipya. Kuna makanisa mengi sana ya wanaojiita mitume au manabii ambao miaka kibao kwenye game ila makanisa yao masanja kawaacha mbali sana. Hata gwajiboy kapigwa bao na mkandamizajiKabla hujamjaji pastor masanja kwanza fanya uchunguzi yeye Kama yeye ana miradi mikubwa ikiwemo mashamba Sasa naona umeamua kumchafua mtumishi wa Mungu siyo vizuri Mungu hapendi
Mtoa mada kakurupuka hajui...wengi ni madent wa vyuoBasi Masanja ana ndugu wengi, kama wote wale ni ndugu zake
Mtoa mada kakurupuka hajui...wengi ni madent wa vyuo