Nguvu ya saikolojia. Ukiielewa namna inavyofanya kazi na ukaitumia vema unaweza kuwa millionaire ndani ya muda mchache sana.
Huyo unayemkubali sana elewa tu kaweza kukuteka kisaikolojia.
Siasa na uchumi na kila kitu is all about psychology.
Katika shughuli yoyote ile jifunze jinsi ya kuteka saikolojia ya wale unaowahitaji, bishara, siasa na hata uongozi.
Ukisikia jamaa yuko very smart, siyo kwamba ni smart hivyo, ila ni kaweza tu kuteka saikolojia yako umuone hivyo.