Mkuu mi nakushauri na wewe utafute njia yako ya kupiga pesa za wajinga wajinga, ambao kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 bado ni wengi mno nchi hii na wanazidi kuongezeka.Kila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza
Hakuna chuki yoyote kijana yule mtu ni tapeli tuu kama alivyo gwajiboy ni mpigaji
Mkandamizaji ni mjasiriadini, sio mtumishi ni tapeli na muhuniKila nikiona kanisa la masanja mkandamizaji na wale waumini huwa nakumbuka wale jamaa wanaochezesha micheZo ya karata tatu pale ubungo au ule utapeli wa kuzungusha mkanda,unaweza ukapita ukaona watu wanakula pesa mnoo Kumbe wale wote ni group moja,ww ukicheZa unaishia kulambwa pesa,the same Kwa kanisa la uyu mchekeshaji wa lumumba yani kanisa zima limejaa ndugu na jamaa zake sasa ww nenda pale ndio utakua ndio muongeza mupesa kwenye hazina ya yule anayejiita mchungaji,Kwa utafiti wangu masanja huwa anawapa wale raia pesa Za kumtunza
wacha wapigwe kekundu mkuu. hawajalazimishwaMasanja mkandamizaji anawapiga kekundu raia kwenye ule mjengo wake anaouita feel free church tunaomba mama samia uingilie kati kati maana anawatapeli raia Na kuwaaribu kiimani waumini masanja ni virus 🦠
Masanja pepoChuki zako binafsi zinakusumbua wewe
Mbona kijana wawatu hana tatizo ile nyimbo yake ya kemea pepo utakua mhusika mkuu sio bure.
Wewe ndo pepoMasanja pepo
Sio chuki binafsi masanja ni SNITCHChuki zako binafsi zinakusumbua wewe
Mbona kijana wawatu hana tatizo ile nyimbo yake ya kemea pepo utakua mhusika mkuu sio bure.