Mormon ni nn??Lile la Moroko ni la Mormon...
Hukuwahi kuingia ndani lakiniNimepita sana hapo Morroco iwe mchana au usiku lakini sijawahi kumkuta muumini hata mmoja
Au ndio wale wazungu ambao kipindi cha nyuma walikuwa wanazungu mzungu na mtu mweusi wakiwa wamevaa mashati meupe na suruali nyeusiLila la moroko ni wamishenary wanasali jumapili. Washanialika sana kwao pale mara kibao. Kuna wazungu pia nadhani wapo kwenye mission
Ili uwe muumini hapo ufanyeje..!??nataka sali humo.Na kama wewe sio muumini huruhusiwi kukanyaga hapo
Watakatifu Wa Siku za Mwisho!Mormon ni nn??
Fika pale utapewa utaratibu woteIli uwe muumini hapo ufanyeje..!??nataka sali humo.