Kanisa la Catholiki Kimara kubomolewa

Kanisa la Catholiki Kimara kubomolewa

Ndugu hajengi pengo, ni waumini ndiyo wanajenga! Kwa hiyo haumii.
waumini wanaweza kuishi bila kanisa, likitoweka kanisa wataendelea kula ugali wao; yeye hawezikuishi bila kanisa, hivyo ataumia sana. "Utukufu"/Umungu alio nao ni kanisa likitoweka naye umungu /utukufu unatoweka
 
Mbona mi naona liko mbali, basi na ile hospitali ya serikali pale lazima ipitiwe!! Na polisi pia kale kakibanda kao kimara bila kusahau parking ya sisiemu!
Pia ule msikiti.
Hospital ya serikali, Kanisa na msikiti lazima vibomolewe. Kanisa linabegwa kidogo sana, hata meta 2.5 hazifiki, lakini msikiti nahisi kama siyo nusu basi yanabaki makaburi tu.
 
Kanisa lilitakiwa lielewe toka mwanzo hilo eneo walilojenga ni barabara inamaana kanisa halikufuata taratibu za kutafuta hati na kujiridhisha kabla ya kujenga au kanisa likipata eneo lolote wao ni kuanza kujenga tu hayo ni makosa yaani katika waumini wote wakati wa ujenzi hamna aliyefuatilia hilo hii ni shida sana wabomoe tu kama ni eneo la barabara

Kanisa lilifuata taratibu zote sema gwavwament ndiyo imeipiga U-turn sheria iliyopo
 
ni kweli kanisa kupitia paroko wa kansa hilo Fr Chacha, na Baraza la maaskofu, walikili kwamba walikosea...

ila tumeishapa kiwanja cha gharama ya Sh 400Million...
Pole yao watoa matoleo
 
Hospital ya serikali, Kanisa na msikiti lazima vibomolewe. Kanisa linabegwa kidogo sana, hata meta 2.5 hazifiki, lakini msikiti nahisi kama siyo nusu basi yanabaki makaburi tu.
Cha msingi wadau wote wapo hapo, kanisa, msikiti na serikali yenyewe!!
 
Hospital ya serikali, Kanisa na msikiti lazima vibomolewe. Kanisa linabegwa kidogo sana, hata meta 2.5 hazifiki, lakini msikiti nahisi kama siyo nusu basi yanabaki makaburi tu.
Inasemekana kanisa halikupata taarifa sahihi kuhusu jiwe...wanavyodai nusu ya kanisa ipo ndani ya Barbara...

Hii barabara itakuwa pana sana
 
Mbona mi naona liko mbali, basi na ile hospitali ya serikali pale lazima ipitiwe!! Na polisi pia kale kakibanda kao kimara bila kusahau parking ya sisiemu!
Pia ule msikiti.
Kawambie tanroads

Ova
 
ni kweli kanisa kupitia paroko wa kansa hilo Fr Chacha, na Baraza la maaskofu, walikili kwamba walikosea...

ila tumeishapa kiwanja cha gharama ya Sh 400Million...
Kukiri kosa ni hatua nzuri, sasa hapo sheria ifuate mkondo wake, wakamatwe wawekwe ndani walipe hizo pesa za wanaparokia walizojengea hapo.
 
mkuu hata kituo cha polisi mbezi na kile cha kimara, kitabomolewa...

Nyumba ya Bwana haikuwa mahala sahihi, ila tunashukuru Bwana huyo huyo katuwezesha kupata zaidi ya 400M, kuamisha kao lake na kwenda pembezoni
 
Back
Top Bottom